Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Team Baltazar tunawakilisha ndug zetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya maneno sio mageni jijiniAnhaa sawa ,Kaka karibu landsin tuangalie movie mwenyewe niko hapa
Sita apewe Ibrahim ame wa mashujaa asaidie kumkaba yule striker waoKesho kwetu ni fainali, naiona safari ya Morocco kama kila mtanzania mwenye uchungu na uzalendo na nchi hii ataomba dua na sala kwa ajili ya wachezaji wetu na nchi kwa ujumla.
Kiukweli umoja na mshikamano wa watanzania kesho ni muhimu sana kuliko wakati wowote ule, silaha zote kesho zihamishiwe uwanja wa mkapa tukaishangilie stars mwanzo mwisho.
Ndugu yangu Hemed Morroco na Juma Mgunda, nyie wote watu wa Pwani, kule Zanzibar ndiko Simba na Yanga waliko watu wao, watu wa nje ya uwanja wako huko, Zanzibar ndio kwenye wataalamu wa kweli, leteni watu kutoka Pemba, leteni watu kutoka kwetu kule Mwakidila, Mwahako, Mabokweni, Mkinga nk.
Guinea ameshangilia sana alipomfunga DRC akidhani amemaliza, kesho mapema tu tunamaliza shughuli.
Tafadhalini makocha, golini Manula, kulia Kapombe, kushoto Zimbwe, Nne Bacca, Tano Job, Sita kesho axcheze Mudathir, winga Kibu, winga Msuva, Nane Feitoto, Tisa Samatta, Kumi Mzize.
Naiona safari ya Morocco, Naiona Safari ya Morocco, Mungu ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Tanzania, Inshaaallah mapema tu niko uwanjani na wataalamu wangu wawili.
Hebu nidadvulie huyu ana upekee upi katk kukaba mana hata jana mwisho alingizwa yulo vzrSita apewe Ibrahim ame wa mashujaa asaidie kumkaba yule striker wao