Kesho ni mbaya sana

Kesho ni mbaya sana

Jamaa yupo sahihi, hakuna mwanaume MWENYE AKILI ataoa mwanamke anayejichubua. Mwanamke anayejichubua Hana akili hivyo ataolewa na asiye na akili pia. Nawwe kama unajichubua jua huna akili
mie nna akili..so sipo kwa hyo category
 
Habari zenu wanajamvi,mlishawahi kujiuliza hawA wanawake waliojichubua NI Nani atakayewaoa?😂😂
Mwanamke ukijichubua jua kuwa huji kuolewa kamwe,hii ni kwa sababu hakuna mwanaume anapenda mwanamke aliyejichubua.
Wapo akina said fella
 
Habari zenu wanajamvi,mlishawahi kujiuliza hawA wanawake waliojichubua NI Nani atakayewaoa?😂😂
Mwanamke ukijichubua jua kuwa huji kuolewa kamwe,hii ni kwa sababu hakuna mwanaume anapenda mwanamke aliyejichubua.
Mchawi mwandamizi
 
Uko sahihi ndege wafananao huruka pamoja. Kama mwanamke anajichubua possibility ya mwanaume kua anajichubua ni kubwa vile vile.

NOTE: Mungu anakupa wakufanana nawe
 
Back
Top Bottom