Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
😂 ili iwejeMbona wanaolewa sana tu na wengine wakishaolewa wanaanza kuwapa kitaulo na mahusbae wao🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂 ili iwejeMbona wanaolewa sana tu na wengine wakishaolewa wanaanza kuwapa kitaulo na mahusbae wao🤣
Natural color is the bestMbona wanaolewa tu mkuu! au una depression
Au ni mekako?rico🤣🤣💃💃
Familia iwe ya kizungu🤣wakipata na kitototo na chenyewe kinachapwa kitaulo yani tafrani tu🤣😂 ili iweje
Mrs mpe na ushahidi kabisaMbona wanaolewa tu mkuu! au una depression
Umekutana na nini mkuuu 😂😂😂😂😂😂😂😂Habari zenu wanajamvi,mlishawahi kujiuliza hawA wanawake waliojichubua NI Nani atakayewaoa?😂😂
Mwanamke ukijichubua jua kuwa huji kuolewa kamwe,hii ni kwa sababu hakuna mwanaume anapenda mwanamke aliyejichubua.
Mkuu kitaulo ni nini ?Familia iwe ya kizungu[emoji1787]wakipata na kitototo na chenyewe kinachapwa kitaulo yani tafrani tu[emoji1787]
Mkorogo MkuuMkuu kitaulo ni nini ?
ni kweli wanaolewa sana tuMbona wanaolewa tu mkuu! au una depression
aingie kwa gara b atawaonaMrs mpe na ushahidi kabisa
umezijuaje? hahaa mhenga weweAu ni mekako?
Umewakumbusha ujuemmeahamia kwa wa mikorogo sasa,,hatimae single maza tunapumzka eeeephuuuuu
Umewakumbusha ujue
Nawe ni miongoni mwaohahahaha soon tunaingia kikaangoni
Nakosaje sasaNawe ni miongoni mwao
🥰Nakosaje sasa