Mchawi mwandamizi
Senior Member
- Jan 17, 2020
- 117
- 335
Sema kuwa baadhi walio ndani ya ndoa ndo wanajichubua, ila wale walio kitaani Wala hawaolewagi.Mbona wanaolewa tu mkuu! au una depression
Anza kuhudhuria harusi inaonekana huna ujualoSema kuwa baadhi walio ndani ya ndoa ndo wanajichubua, ila wale walio kitaani Wala hawaolewagi.
mtaani kwenu labdaππSema kuwa baadhi walio ndani ya ndoa ndo wanajichubua, ila wale walio kitaani Wala hawaolewagi.
Jamaa yupo sahihi, hakuna mwanaume MWENYE AKILI ataoa mwanamke anayejichubua. Mwanamke anayejichubua Hana akili hivyo ataolewa na asiye na akili pia. Nawwe kama unajichubua jua huna akiliMbona wanaolewa tu mkuu! au una depression
Picha iko wapi?Habari zenu wanajamvi,mlishawahi kujiuliza hawA wanawake waliojichubua NI Nani atakayewaoa?ππ
Mwanamke ukijichubua jua kuwa huji kuolewa kamwe,hii ni kwa sababu hakuna mwanaume anapenda mwanamke aliyejichubua.
Ni sahihi.Alete foto ya mchubuko ili tujue ametumia rico au mafuta ya mawese yaliyochemka na jiki.Picha iko wapi?
Mbona wanaolewa tu mkuu! au una depression
Ndo wanaoolewa kila siku mkuu
Nina swali.Mtanijibu?Anza kuhudhuria harusi inaonekana huna ujualo
Lugha imekua aisee!Kuwapa kitaulo maana yake nini hapo?Mbona wanaolewa sana tu na wengine wakishaolewa wanaanza kuwapa kitaulo na mahusbae waoπ€£
karibu uliza swaliNina swali.Mtanijibu?
ricoπ€£π€£ππNi sahihi.Alete foto ya mchubuko ili tujue ametumia rico au mafuta ya mawese yaliyochemka na jiki.
mie nna akili..so sipo kwa hyo categoryJamaa yupo sahihi, hakuna mwanaume MWENYE AKILI ataoa mwanamke anayejichubua. Mwanamke anayejichubua Hana akili hivyo ataolewa na asiye na akili pia. Nawwe kama unajichubua jua huna akili
Mkorogo mkuuLugha imekua aisee!Kuwapa kitaulo maana yake nini hapo?
Wapo akina said fellaHabari zenu wanajamvi,mlishawahi kujiuliza hawA wanawake waliojichubua NI Nani atakayewaoa?ππ
Mwanamke ukijichubua jua kuwa huji kuolewa kamwe,hii ni kwa sababu hakuna mwanaume anapenda mwanamke aliyejichubua.
Mchawi mwandamiziHabari zenu wanajamvi,mlishawahi kujiuliza hawA wanawake waliojichubua NI Nani atakayewaoa?ππ
Mwanamke ukijichubua jua kuwa huji kuolewa kamwe,hii ni kwa sababu hakuna mwanaume anapenda mwanamke aliyejichubua.