ur welcome [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]On my way darling...
Hahahah amekuona ww sio mtu mwaya
Nichagulie adhabu... nimtumbue au nimtaje kwa Makonder??Hahahah amekuona ww sio mtu mwaya
Mchamehee tu mwaya ana stress hajapata mtu wa kutoka nae out leo hahahahahNichagulie adhabu... nimtumbue au nimtaje kwa Makonder??
Mtafute Mshana 'akakuroge'...!Hv wale wachawi wa JF wanaitwa akina nani vileee. Me namtaka mmjowapo nitampa mapz mubasharaaaaa
Mwambieni aje kwangu....Mchamehee tu mwaya ana stress hajapata mtu wa kutoka nae out leo hahahahah
Mme wake anajulikana nchi nzima, ni mimi hapa hata JF wanalijua hilo![emoji30]
Hizi ndo kama zile hadithi za mkuu wa mkoa kukutimua katika mkoa wake na ndala zako...Mme wake anajulikana nchi nzima, ni mimi hapa hata JF wanalijua hilo![emoji30]
Unaweza kumfikiria au ndo tumwache afe na tai yake ya ndani ya boxer?Mchamehee tu mwaya ana stress hajapata mtu wa kutoka nae out leo hahahahah
Kitendo cha wewe kutaka kumng'ang'ania mke wangu unaanzisha vita ambayo inanishawishi niifungie JF permanently, please retreat yourself now![emoji30]Hizi ndo kama zile hadithi za mkuu wa mkoa kukutimua katika mkoa wake na ndala zako...