Kesho ni siku ya wapendanao: Je ungependa kutoka na nani hapa JF?

Kesho ni siku ya wapendanao: Je ungependa kutoka na nani hapa JF?

*WAKIMALIZA SUALA LA UNGA KUNA WANAUME AMBAO HAWANYWI POMBE NA HAWAANGALII MPIRA. NAO WACHUNGUZWE.... KUNA KITU WANAFANYA WAMEJIFICHA* [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hizi ndo kama zile hadithi za mkuu wa mkoa kukutimua katika mkoa wake na ndala zako...
Kitendo cha wewe kutaka kumng'ang'ania mke wangu unaanzisha vita ambayo inanishawishi niifungie JF permanently, please retreat yourself now![emoji30]
 
Back
Top Bottom