Kesho ni uchaguzi wenu Chadema, nachojua mimi Freeman Mbowe hawezi kuachia uenyekiti kwa Tundu Lissu, Never

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Mbowe is very smart, he is always speaking confidently, ndio maana habagazi mtu.

Anaposema chama kitaendelea maana yake atashinda kwa vyovyote vile Iła atampa LISSU agombee urais.

Atashinda uchaguzi Iła wale wote waliomtukana atawaingiza kwenye Kamati Kuu.

Mbowe hana kinyongo lkn ukitaka ubaya ubwela naye gombea nafasi yake.
 
Tafsiri ya yeye kuvua kofia mlangoni anavyoingia na wanachama na mbowe akavua na yeye akagoma kuvua ukumbini ....umeielewa lakini?

Chadema inakuja mpya hutaamini hata mbowe akishinda
 
Chadema hawana nguvu ya kushika dola leo wala kesho laikini Freeman Mbowe ni kiongozi mzuri kwa level ya chama chake.

Na namuunga mkono kwa kusimama kutetea kiti maana akimwachia yule mropokaji chama kitageuka cha kutetea haki za mashoga

View: https://youtu.be/5pfu1eILfdw

Mwenyezi Mungu nusuru wanachadema na vizazi vyao

Mwenyezi Mungu inusuru Tanzania
 
Mbowe is very smart, he is always speaking confidently, ndio maana habagazi mtu.

Anaposema chama kitaendelea maana yake atashinda kwa vyovyote vile Iła atampa LISSU agombee urais.

Atashinda uchaguzi Iła wale wote waliomtukana atawaingiza kwenye Kamati Kuu.

Mbowe hana kinyongo lkn ukitaka ubaya ubwela naye gombea nafasi yake.
Sisi ndio wenye vinyongo CCEM itatamalaki oktoba .
 
Binafsi napenda huyo Makengeza aendelee na CHADEMA ili waje mtaani watukute wananchi tukiwa tunawasubiri!,Hawatoamini !
 
Mbowe is very smart, he is always speaking confidently, ndio maana habagazi mtu.

Anaposema chama kitaendelea maana yake atashinda kwa vyovyote vile Iła atampa LISSU agombee urais.

Atashinda uchaguzi Iła wale wote waliomtukana atawaingiza kwenye Kamati Kuu.

Mbowe hana kinyongo lkn ukitaka ubaya ubwela naye gombea nafasi yake.
Hilo lipo wazi tatizo ni ndoa yake na ccm, lissu hawazi lamba matapishi
 
Chadema hawana nguvu ya kushika dola leo wala kesho laikini Freeman Mbowe ni kiongozi mzuri kwa level ya chama chake.

Na namuunga mkono kwa kusimama kutetea kiti maana akimwachia yule mropokaji chama kitageuka cha kutetea haki za mashoga

Mwenyezi Mungu nusuru wanachadema na vizazi vyao

Mwenyezi Mungu inusuru Tanzania
Huna we mwana mama
 
Binafsi napenda huyo Makengeza aendelee na CHADEMA ili waje mtaani watukute wananchi tukiwa tunawasubiri!,Hawatoamini !
Mtawafanya nini nyie walenda mpira na zinaa kuliko maisha yenu?
 
Siyo kwamba hawezi kuachia ni kwamba atamzidi Lissu kwa kura za ndiyo.
 
Tupate salamu kutoka kwa mwenyekiti king'ang'anizi

Mbowe is very smart, he is always speaking confidently, ndio maana habagazi mtu.

Anaposema chama kitaendelea maana yake atashinda kwa vyovyote vile Iła atampa LISSU agombee urais.

Atashinda uchaguzi Iła wale wote waliomtukana atawaingiza kwenye Kamati Kuu.

Mbowe hana kinyongo lkn ukitaka ubaya ubwela naye gombea nafasi yake.
Ulikua hujui kama hujui halafu unasema unajua! Hata wave hukuona?
 
Back
Top Bottom