Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Sisi ndio wenye vinyongo CCEM itatamalaki oktoba .Mbowe is very smart, he is always speaking confidently, ndio maana habagazi mtu.
Anaposema chama kitaendelea maana yake atashinda kwa vyovyote vile Iła atampa LISSU agombee urais.
Atashinda uchaguzi Iła wale wote waliomtukana atawaingiza kwenye Kamati Kuu.
Mbowe hana kinyongo lkn ukitaka ubaya ubwela naye gombea nafasi yake.
Hilo lipo wazi tatizo ni ndoa yake na ccm, lissu hawazi lamba matapishiMbowe is very smart, he is always speaking confidently, ndio maana habagazi mtu.
Anaposema chama kitaendelea maana yake atashinda kwa vyovyote vile Iła atampa LISSU agombee urais.
Atashinda uchaguzi Iła wale wote waliomtukana atawaingiza kwenye Kamati Kuu.
Mbowe hana kinyongo lkn ukitaka ubaya ubwela naye gombea nafasi yake.
Huna we mwana mamaChadema hawana nguvu ya kushika dola leo wala kesho laikini Freeman Mbowe ni kiongozi mzuri kwa level ya chama chake.
Na namuunga mkono kwa kusimama kutetea kiti maana akimwachia yule mropokaji chama kitageuka cha kutetea haki za mashoga
Mwenyezi Mungu nusuru wanachadema na vizazi vyao
Mwenyezi Mungu inusuru Tanzania
Mtawafanya nini nyie walenda mpira na zinaa kuliko maisha yenu?Binafsi napenda huyo Makengeza aendelee na CHADEMA ili waje mtaani watukute wananchi tukiwa tunawasubiri!,Hawatoamini !
Ulikua hujui kama hujui halafu unasema unajua! Hata wave hukuona?Mbowe is very smart, he is always speaking confidently, ndio maana habagazi mtu.