Kesho Tar. 16/10/2026 tunaiomba serikali imzuie Mwabukusi kuingia ofisini kutokana na shutuma zinazomkabili

instinct desire

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2026
Posts
2,503
Reaction score
1,757
Kichwa cha habari chajieleza kiukweli shutuma za Rais wa TLS bwana Mwabukusi ni kubwa mno ni shutuma hatari sana kwa ustawi wa Taifa letu na watanzania kwa ujumla ni shutuma za kiuuaji na kigaidi hapaswi kuwa ofsini na yafaa atuombe radhi watanzania.

kwamba alitumia Hela ya ofisi (serikali ) kufadhiri vurugu nchini hii ni rushwa pia hii haikubariki hata kama ni shutuma yafaa ATUPISHE AONDOKE KWENYE OFISI YA UMMA pia yafaa awe rumande huku taratibu zingine za kisheria zikiendelea.

Tunaviomba vyombo vya Dola vimzuie asiingie ofisini, ofisi IFUNGWE na CAG Afanye ukaguzi wa matumizi ya ofisi ya TLS tangu mwabukusi aliopoingia madarakan.....huku taratibu za uchaguzi wa kiongozi mwingine zikiendelea ili iwe fundisho.

Angalizo: mawakili acheni kuchagua viongozi kwa mihemko pia angalieni elimu za wagombea, sifa ya kuwa na school of law pekee haitoshi kufanya mtu awe Rais wa TLS yafaa awe na PhD of any law

Nawatakieni usiku mwema wote
 
11 October 2026
Sakata la rais wa TLS Boniface Mwabukusi kutaka kuvuliwa uwakili kisa kesi ya Tundu Lissu laibuwa sura mpya,TLS waibuka na kutoa tamko

View: https://m.youtube.com/watch?v=g4FskZwRzi4
Vipengele muhimu vya kesi:
Kesi ya Kikatiba Mahakamani: Baadhi ya mawakili wanachama wa TLS (wakiongozwa na mawakili kama Jebra Kambole na Paul Kisabo) wamefungua shauri la kikatiba kupinga jaribio la kutaka kumfutia uwakili Mwabukusi.

Amri ya Kusimamishwa: Mahakama imeamuru kuwa shauri la kinidhamu lililokuwa mbele ya Kamati ya Taifa ya Mawakili (NAC) litasimama kwanza

Msimamo wa TLS: Viongozi na mawakili wenza wanasisitiza kuwa kauli alizotoa Mwabukusi hazikuwa za kwake binafsi bali zilikuwa ni msimamo na maazimio halali ya jumla ya wanachama wa TLS

WADAU WA KIMATAIFA : EALS East Africa Law Society, SADCLA SADC Law Society , PALS Pan African Law society, PALU Pan African Lawyers Union etc watakiwa kufuatilia mwenendo wa TLS kusakamwa ..
 
Nyie TLS achieni ofs ya umma hamfai
 
Mkuki kwa nguruwe siyo??

Na vipi kuhusu huyo mtawala wa nchi anayetuhimiwa kufanya biashara haramu za madawa ya kulevya, silaha, nk??
=========================

Gazeti la Uingereza ladai kuwepo Mtandao Mkubwa wa Silaha na Dawa za Kulevya Afrika: Marais Kadhaa Watajwa. Uchunguzi (investigation) unaendelea | JamiiForums Tanzania https://share.google/ahaZ8phPfgQlxLmBJ
 
Kichwa cha habari chajieleza kiukweli shutuma za Rais wa TLS bwana Mwabukusi ni kubwa mno ni shutuma hatari sana kwa ustawi wa Taifa letu na watanzania kwa ujumla ni shutuma za kiuuaji na kigaidi hapaswi kuwa ofsini na yafaa atuombe radhi watanzania.

kwamba alitumia Hela ya ofisi (serikali ) kufadhiri vurugu nchini hii ni rushwa pia hii haikubariki hata kama ni shutuma yafaa ATUPISHE AONDOKE KWENYE OFISI YA UMMA pia yafaa awe rumande huku taratibu zingine za kisheria zikiendelea.

Tunaviomba vyombo vya Dola vimzuie asiingie ofisini, ofisi IFUNGWE na CAG Afanye ukaguzi wa matumizi ya ofisi ya TLS tangu mwabukusi aliopoingia madarakan.....huku taratibu za uchaguzi wa kiongozi mwingine zikiendelea ili iwe fundisho.

Angalizo: mawakili acheni kuchagua viongozi kwa mihemko pia angalieni elimu za wagombea, sifa ya kuwa na school of law pekee haitoshi kufanya mtu awe Rais wa TLS yafaa awe na PhD of any law

Nawatakieni usiku mwema wote
Wanaofanya hilo jaribio la kupindua TLS ,wamzuie wao! Msifanye serikali kuwa kichaka!
 
Hawa chawa inabidi tuwaweke kwenye ignore ili huu upuuzi wao usisambae.
 
Amani kwako.
 
Ujumbe utafika tu

Leo msikanyage ofsn
12967.jpg
 
naunga mkono hoja kwa 100% :KasugaYeah:
 
11 October 2026
Sakata la rais wa TLS Boniface Mwabukusi kutaka kuvuliwa uwakili kisa kesi ya Tundu Lissu laibuwa sura mpya,TLS waibuka na kutoa tamko

View: https://m.youtube.com/watch?v=g4FskZwRzi4
Vipengele muhimu vya kesi:
Kesi ya Kikatiba Mahakamani: Baadhi ya mawakili wanachama wa TLS (wakiongozwa na mawakili kama Jebra Kambole na Paul Kisabo) wamefungua shauri la kikatiba kupinga jaribio la kutaka kumfutia uwakili Mwabukusi.

Amri ya Kusimamishwa: Mahakama imeamuru kuwa shauri la kinidhamu lililokuwa mbele ya Kamati ya Taifa ya Mawakili (NAC) litasimama kwanza

Msimamo wa TLS: Viongozi na mawakili wenza wanasisitiza kuwa kauli alizotoa Mwabukusi hazikuwa za kwake binafsi bali zilikuwa ni msimamo na maazimio halali ya jumla ya wanachama wa TLS

WADAU WA KIMATAIFA : EALS East Africa Law Society, SADCLA SADC Law Society , PALS Pan African Law society, PALU Pan African Lawyers Union etc watakiwa kufuatilia mwenendo wa TLS kusakamwa ..

TLS isitumike kama kichaka cha kujificha wanaharakati wa siasa. Mwabukusi aamue afanye kazi ya TLS au afanye harakati za siasa.

Kwani toka kipindi cha mkoloni ma Rais wengine wa TLS mbona hawakuwa na mvutano na Serikali?

Au basi kama ni hivyo TLS nayo ikasajiliwe na Jaji Mutungi iwe chama cha siasa kama CHADEMA
 
Kichwa cha habari chajieleza kiukweli shutuma za Rais wa TLS bwana Mwabukusi ni kubwa mno ni shutuma hatari sana kwa ustawi wa Taifa letu na watanzania kwa ujumla ni shutuma za kiuuaji na kigaidi hapaswi kuwa ofsini na yafaa atuombe radhi watanzania.

kwamba alitumia Hela ya ofisi (serikali ) kufadhiri vurugu nchini hii ni rushwa pia hii haikubariki hata kama ni shutuma yafaa ATUPISHE AONDOKE KWENYE OFISI YA UMMA pia yafaa awe rumande huku taratibu zingine za kisheria zikiendelea.

Tunaviomba vyombo vya Dola vimzuie asiingie ofisini, ofisi IFUNGWE na CAG Afanye ukaguzi wa matumizi ya ofisi ya TLS tangu mwabukusi aliopoingia madarakan.....huku taratibu za uchaguzi wa kiongozi mwingine zikiendelea ili iwe fundisho.

Angalizo: mawakili acheni kuchagua viongozi kwa mihemko pia angalieni elimu za wagombea, sifa ya kuwa na school of law pekee haitoshi kufanya mtu awe Rais wa TLS yafaa awe na PhD of any law

Nawatakieni usiku mwema wote
We jamaa unaona sifa kuanzisha uzi. Ccm na serekali yake ndio wanapaswa kujiuzulu kwa kufadhili makundi ya kigaidi na viongozi wake wakijulikana m. Ref makundi ya shekhe Mwaipopo na makundi ya utekaji.
Pili ccm ba serekali yake, hawaoni shida kumoa mtu case ngumu na kubwa kama case za ugaidi, uhaini, uhujumu uchumi, utakatushaji wa pesa nk. Kama wataona ni mkosoaji kwa mambo yao ya hovyo wanayotenda
 
Kichwa cha habari chajieleza kiukweli shutuma za Rais wa TLS bwana Mwabukusi ni kubwa mno ni shutuma hatari sana kwa ustawi wa Taifa letu na watanzania kwa ujumla ni shutuma za kiuuaji na kigaidi hapaswi kuwa ofsini na yafaa atuombe radhi watanzania.

kwamba alitumia Hela ya ofisi (serikali ) kufadhiri vurugu nchini hii ni rushwa pia hii haikubariki hata kama ni shutuma yafaa ATUPISHE AONDOKE KWENYE OFISI YA UMMA pia yafaa awe rumande huku taratibu zingine za kisheria zikiendelea.

Tunaviomba vyombo vya Dola vimzuie asiingie ofisini, ofisi IFUNGWE na CAG Afanye ukaguzi wa matumizi ya ofisi ya TLS tangu mwabukusi aliopoingia madarakan.....huku taratibu za uchaguzi wa kiongozi mwingine zikiendelea ili iwe fundisho.

Angalizo: mawakili acheni kuchagua viongozi kwa mihemko pia angalieni elimu za wagombea, sifa ya kuwa na school of law pekee haitoshi kufanya mtu awe Rais wa TLS yafaa awe na PhD of any law

Nawatakieni usiku mwema wote
Wewe ni mpumbavu sana
 
Back
Top Bottom