Kesho Tar. 16/10/2026 tunaiomba serikali imzuie Mwabukusi kuingia ofisini kutokana na shutuma zinazomkabili

We jamaa unaona sifa kuanzisha uzi. Ccm na serekali yake ndio wanapaswa kujiuzulu kwa kufadhili makundi ya kigaidi na viongozi wake wakijulikana m. Ref makundi ya shekhe Mwaipopo na makundi ya utekaji.
Pili ccm ba serekali yake, hawaoni shida kumoa mtu case ngumu na kubwa kama case za ugaidi, uhaini, uhujumu uchumi, utakatushaji wa pesa nk. Kama wataona ni mkosoaji kwa mambo yao ya hovyo wanayotenda
Leo msiingie ofsni nyie magaidi wa TLS
 
Kichwa cha habari chajieleza kiukweli shutuma za Rais wa TLS bwana Mwabukusi ni kubwa mno ni shutuma hatari sana kwa ustawi wa Taifa letu na watanzania kwa ujumla ni shutuma za kiuuaji na kigaidi hapaswi kuwa ofsini na yafaa atuombe radhi watanzania.

kwamba alitumia Hela ya ofisi (serikali ) kufadhiri vurugu nchini hii ni rushwa pia hii haikubariki hata kama ni shutuma yafaa ATUPISHE AONDOKE KWENYE OFISI YA UMMA pia yafaa awe rumande huku taratibu zingine za kisheria zikiendelea.

Tunaviomba vyombo vya Dola vimzuie asiingie ofisini, ofisi IFUNGWE na CAG Afanye ukaguzi wa matumizi ya ofisi ya TLS tangu mwabukusi aliopoingia madarakan.....huku taratibu za uchaguzi wa kiongozi mwingine zikiendelea ili iwe fundisho.

Angalizo: mawakili acheni kuchagua viongozi kwa mihemko pia angalieni elimu za wagombea, sifa ya kuwa na school of law pekee haitoshi kufanya mtu awe Rais wa TLS yafaa awe na PhD of any law

Nawatakieni usiku mwema wote
TLS siyo ofisi ya serikali kwamba wamzuie kiongozi kuingia ofisini. Otherwise kama kupost huu ujinga ndipo utapata posho kule ikululu basi nenda uchukue.
 
Kichwa cha habari chajieleza kiukweli shutuma za Rais wa TLS bwana Mwabukusi ni kubwa mno ni shutuma hatari sana kwa ustawi wa Taifa letu na watanzania kwa ujumla ni shutuma za kiuuaji na kigaidi hapaswi kuwa ofsini na yafaa atuombe radhi watanzania.

kwamba alitumia Hela ya ofisi (serikali ) kufadhiri vurugu nchini hii ni rushwa pia hii haikubariki hata kama ni shutuma yafaa ATUPISHE AONDOKE KWENYE OFISI YA UMMA pia yafaa awe rumande huku taratibu zingine za kisheria zikiendelea.

Tunaviomba vyombo vya Dola vimzuie asiingie ofisini, ofisi IFUNGWE na CAG Afanye ukaguzi wa matumizi ya ofisi ya TLS tangu mwabukusi aliopoingia madarakan.....huku taratibu za uchaguzi wa kiongozi mwingine zikiendelea ili iwe fundisho.

Angalizo: mawakili acheni kuchagua viongozi kwa mihemko pia angalieni elimu za wagombea, sifa ya kuwa na school of law pekee haitoshi kufanya mtu awe Rais wa TLS yafaa awe na PhD of any law

Nawatakieni usiku mwema wote
Mahakama ndiyo yenye nguvu ya kisheria kumtia mtu hatiani au lah kutokana na ushahidi usiotia SHAKA na si BLABLA za Lumumba au MAFWELE.

Kama ulikuwa haujui Mwamubukusi ni hatari sana akitoea nje kuliko wa sasa huyu wa TLS.
 
Apishe uchunguzi
 
Pole sana .
Subiri ni suala la muda tu
 
Kichwa cha habari chajieleza kiukweli shutuma za Rais wa TLS bwana Mwabukusi ni kubwa mno ni shutuma hatari sana kwa ustawi wa Taifa letu na watanzania kwa ujumla ni shutuma za kiuuaji na kigaidi hapaswi kuwa ofsini na yafaa atuombe radhi watanzania.

kwamba alitumia Hela ya ofisi (serikali ) kufadhiri vurugu nchini hii ni rushwa pia hii haikubariki hata kama ni shutuma yafaa ATUPISHE AONDOKE KWENYE OFISI YA UMMA pia yafaa awe rumande huku taratibu zingine za kisheria zikiendelea.

Tunaviomba vyombo vya Dola vimzuie asiingie ofisini, ofisi IFUNGWE na CAG Afanye ukaguzi wa matumizi ya ofisi ya TLS tangu mwabukusi aliopoingia madarakan.....huku taratibu za uchaguzi wa kiongozi mwingine zikiendelea ili iwe fundisho.

Angalizo: mawakili acheni kuchagua viongozi kwa mihemko pia angalieni elimu za wagombea, sifa ya kuwa na school of law pekee haitoshi kufanya mtu awe Rais wa TLS yafaa awe na PhD of any law

Nawatakieni usiku mwema wote
Nyie vibaraka wa Zanzibar mwisho wenu ni 2028, na wakati huo tutakuwa tumekwishawajua, sijui mtakimbilia wapi. Hao ndiyo mwisho wao wa kuwa Rais Tanganyika. Ati Mwambukus anayetetea Tanganyika mnaona ni adui?
 
Kichwa cha habari chajieleza kiukweli shutuma za Rais wa TLS bwana Mwabukusi ni kubwa mno ni shutuma hatari sana kwa ustawi wa Taifa letu na watanzania kwa ujumla ni shutuma za kiuuaji na kigaidi hapaswi kuwa ofsini na yafaa atuombe radhi watanzania.

kwamba alitumia Hela ya ofisi (serikali ) kufadhiri vurugu nchini hii ni rushwa pia hii haikubariki hata kama ni shutuma yafaa ATUPISHE AONDOKE KWENYE OFISI YA UMMA pia yafaa awe rumande huku taratibu zingine za kisheria zikiendelea.

Tunaviomba vyombo vya Dola vimzuie asiingie ofisini, ofisi IFUNGWE na CAG Afanye ukaguzi wa matumizi ya ofisi ya TLS tangu mwabukusi aliopoingia madarakan.....huku taratibu za uchaguzi wa kiongozi mwingine zikiendelea ili iwe fundisho.

Angalizo: mawakili acheni kuchagua viongozi kwa mihemko pia angalieni elimu za wagombea, sifa ya kuwa na school of law pekee haitoshi kufanya mtu awe Rais wa TLS yafaa awe na PhD of any law

Nawatakieni usiku mwema wote
Huna akili.
 
Attachments

  • Screenshot_20261007-205930.png
    Screenshot_20261007-205930.png
    155.5 KB · Views: 6
TLS sio mali ya serikali kwahiyo serikali Awana mamlaka kisheria hata kimabavu kumwambia rais wa TLS asitumie ofisi za TLS. TLS sio chama cha siasa unaweza mpa maelekezo msajiri kesho asubuh akaandika barua la zuio
 
Ni ofisi ya nani? Au ya chadema
TLS siyo taasisi ya kiserikali ndugu, kama hujui kitu kuna muda usiruhusu kila mtu akujue wewe huna timamu au ni mjinga. Na huenda wengi sana wa huo upande uliopo hamjui vitu vingi bongo zenu zinatoka makamasi tu. Uliza kwanza ujue juu ya kitu fulani ndipo upost
 
Anavyowasumbua...ngoja mkome na roho zenu za ushetani...
 
TLS siyo taasisi ya kiserikali ndugu, kama hujui kitu kuna muda usiruhusu kila mtu akujue wewe huna timamu au ni mjinga. Na huenda wengi sana wa huo upande uliopo hamjui vitu vingi bongo zenu zinatoka makamasi tu. Uliza kwanza ujue juu ya kitu fulani ndipo upost
Kwahyo TLS ni NGO? haijaundwa na Bunge (Sheria) hebu kuwa serious basi.

TLS inaongozwa kwa Mujibu wa Sheria iliyotungwa na bunge na Sheria no. 42 ya mwaka 1961 iliyofanyiwa maboresho mwaka 2018, 2020 na 2023.

TLS ni independent institution lakini inaongozwa na Sheria za nchi kwahyo usiseme unaweza kujiamulia mambo ndugu yangu
 
Tofautisha taasisi ya serikali na chama cha kitaaluma, emu niambie je CWT ni taasisi ya serikali?
Si Mali ya serikali Moja kwa moja lakini operation zake zinalindwa na katiba ya nchi, ndyo maana haziitwi NGO, ukitaka ubadilishe kifungu ndani ya cwt atakaye Fanya ni bunge siyo kiongozi wa Cwt, hivyo hivyo kwa TLS ndo maana uki mis behave unafunguliwa kesi na mawakili wa serikali.... nadhan umeelewa.

Mfano TLS inalindwa na Sheria namba 307 ya katiba ya Nchi kwahyo utendaji wote unaangaziwa na serikali muda wote
 
Back
Top Bottom