instinct desire
JF-Expert Member
- Mar 17, 2026
- 2,503
- 1,757
Kichwa cha habari chajieleza kiukweli shutuma za Rais wa TLS bwana Mwabukusi ni kubwa mno ni shutuma hatari sana kwa ustawi wa Taifa letu na watanzania kwa ujumla ni shutuma za kiuuaji na kigaidi hapaswi kuwa ofsini na yafaa atuombe radhi watanzania.
kwamba alitumia Hela ya ofisi (serikali ) kufadhiri vurugu nchini hii ni rushwa pia hii haikubariki hata kama ni shutuma yafaa ATUPISHE AONDOKE KWENYE OFISI YA UMMA pia yafaa awe rumande huku taratibu zingine za kisheria zikiendelea.
Tunaviomba vyombo vya Dola vimzuie asiingie ofisini, ofisi IFUNGWE na CAG Afanye ukaguzi wa matumizi ya ofisi ya TLS tangu mwabukusi aliopoingia madarakan.....huku taratibu za uchaguzi wa kiongozi mwingine zikiendelea ili iwe fundisho.
Angalizo: mawakili acheni kuchagua viongozi kwa mihemko pia angalieni elimu za wagombea, sifa ya kuwa na school of law pekee haitoshi kufanya mtu awe Rais wa TLS yafaa awe na PhD of any law
Nawatakieni usiku mwema wote
Nyuzi 200Nyuzi ngapi kwa siku topic ile ile?Punguzeni kujidhalilisha,mishipa ya ufahamu ishakatika,sio bure!
Nyie TLS achieni ofs ya umma hamfai11 October 2026
Sakata la rais wa TLS Boniface Mwabukusi kutaka kuvuliwa uwakili kisa kesi ya Tundu Lissu laibuwa sura mpya,TLS waibuka na kutoa tamko
View: https://m.youtube.com/watch?v=g4FskZwRzi4Vipengele muhimu vya kesi:
Kesi ya Kikatiba Mahakamani: Baadhi ya mawakili wanachama wa TLS (wakiongozwa na mawakili kama Jebra Kambole na Paul Kisabo) wamefungua shauri la kikatiba kupinga jaribio la kutaka kumfutia uwakili Mwabukusi.
Amri ya Kusimamishwa: Mahakama imeamuru kuwa shauri la kinidhamu lililokuwa mbele ya Kamati ya Taifa ya Mawakili (NAC) litasimama kwanza
Msimamo wa TLS: Viongozi na mawakili wenza wanasisitiza kuwa kauli alizotoa Mwabukusi hazikuwa za kwake binafsi bali zilikuwa ni msimamo na maazimio halali ya jumla ya wanachama wa TLS
WADAU WA KIMATAIFA : EALS East Africa Law Society, SADCLA SADC Law Society , PALS Pan African Law society, PALU Pan African Lawyers Union etc watakiwa kufuatilia mwenendo wa TLS kusakamwa ..
Toilet paper..!!Nyie TLS achieni ofs ya umma hamfai
Wanaofanya hilo jaribio la kupindua TLS ,wamzuie wao! Msifanye serikali kuwa kichaka!Kichwa cha habari chajieleza kiukweli shutuma za Rais wa TLS bwana Mwabukusi ni kubwa mno ni shutuma hatari sana kwa ustawi wa Taifa letu na watanzania kwa ujumla ni shutuma za kiuuaji na kigaidi hapaswi kuwa ofsini na yafaa atuombe radhi watanzania.
kwamba alitumia Hela ya ofisi (serikali ) kufadhiri vurugu nchini hii ni rushwa pia hii haikubariki hata kama ni shutuma yafaa ATUPISHE AONDOKE KWENYE OFISI YA UMMA pia yafaa awe rumande huku taratibu zingine za kisheria zikiendelea.
Tunaviomba vyombo vya Dola vimzuie asiingie ofisini, ofisi IFUNGWE na CAG Afanye ukaguzi wa matumizi ya ofisi ya TLS tangu mwabukusi aliopoingia madarakan.....huku taratibu za uchaguzi wa kiongozi mwingine zikiendelea ili iwe fundisho.
Angalizo: mawakili acheni kuchagua viongozi kwa mihemko pia angalieni elimu za wagombea, sifa ya kuwa na school of law pekee haitoshi kufanya mtu awe Rais wa TLS yafaa awe na PhD of any law
Nawatakieni usiku mwema wote
Hawa chawa inabidi tuwaweke kwenye ignore ili huu upuuzi wao usisambae.Kichwa cha habari chajieleza kiukweli shutuma za Rais wa TLS bwana Mwabukusi ni kubwa mno ni shutuma hatari sana kwa ustawi wa Taifa letu na watanzania kwa ujumla ni shutuma za kiuuaji na kigaidi hapaswi kuwa ofsini na yafaa atuombe radhi watanzania.
kwamba alitumia Hela ya ofisi (serikali ) kufadhiri vurugu nchini hii ni rushwa pia hii haikubariki hata kama ni shutuma yafaa ATUPISHE AONDOKE KWENYE OFISI YA UMMA pia yafaa awe rumande huku taratibu zingine za kisheria zikiendelea.
Tunaviomba vyombo vya Dola vimzuie asiingie ofisini, ofisi IFUNGWE na CAG Afanye ukaguzi wa matumizi ya ofisi ya TLS tangu mwabukusi aliopoingia madarakan.....huku taratibu za uchaguzi wa kiongozi mwingine zikiendelea ili iwe fundisho.
Angalizo: mawakili acheni kuchagua viongozi kwa mihemko pia angalieni elimu za wagombea, sifa ya kuwa na school of law pekee haitoshi kufanya mtu awe Rais wa TLS yafaa awe na PhD of any law
Nawatakieni usiku mwema wote
Amani kwako.Kichwa cha habari chajieleza kiukweli shutuma za Rais wa TLS bwana Mwabukusi ni kubwa mno ni shutuma hatari sana kwa ustawi wa Taifa letu na watanzania kwa ujumla ni shutuma za kiuuaji na kigaidi hapaswi kuwa ofsini na yafaa atuombe radhi watanzania.
kwamba alitumia Hela ya ofisi (serikali ) kufadhiri vurugu nchini hii ni rushwa pia hii haikubariki hata kama ni shutuma yafaa ATUPISHE AONDOKE KWENYE OFISI YA UMMA pia yafaa awe rumande huku taratibu zingine za kisheria zikiendelea.
Tunaviomba vyombo vya Dola vimzuie asiingie ofisini, ofisi IFUNGWE na CAG Afanye ukaguzi wa matumizi ya ofisi ya TLS tangu mwabukusi aliopoingia madarakan.....huku taratibu za uchaguzi wa kiongozi mwingine zikiendelea ili iwe fundisho.
Angalizo: mawakili acheni kuchagua viongozi kwa mihemko pia angalieni elimu za wagombea, sifa ya kuwa na school of law pekee haitoshi kufanya mtu awe Rais wa TLS yafaa awe na PhD of any law
Nawatakieni usiku mwema wote
Ujumbe utafika tuHawa chawa inabidi tuwaweke kwenye ignore ili huu upuuzi wao usisambae.

Leo msikanyage ofsnToilet paper..!!
Hapinduliwi anaondolewaWanaofanya hilo jaribio la kupindua TLS ,wamzuie wao! Msifanye serikali kuwa kichaka!
Ujumbe utafika tu
Leo msikanyage ofsn
naunga mkono hoja kwa 100%Kichwa cha habari chajieleza kiukweli shutuma za Rais wa TLS bwana Mwabukusi ni kubwa mno ni shutuma hatari sana kwa ustawi wa Taifa letu na watanzania kwa ujumla ni shutuma za kiuuaji na kigaidi hapaswi kuwa ofsini na yafaa atuombe radhi watanzania.
kwamba alitumia Hela ya ofisi (serikali ) kufadhiri vurugu nchini hii ni rushwa pia hii haikubariki hata kama ni shutuma yafaa ATUPISHE AONDOKE KWENYE OFISI YA UMMA pia yafaa awe rumande huku taratibu zingine za kisheria zikiendelea.
Tunaviomba vyombo vya Dola vimzuie asiingie ofisini, ofisi IFUNGWE na CAG Afanye ukaguzi wa matumizi ya ofisi ya TLS tangu mwabukusi aliopoingia madarakan.....huku taratibu za uchaguzi wa kiongozi mwingine zikiendelea ili iwe fundisho.
Angalizo: mawakili acheni kuchagua viongozi kwa mihemko pia angalieni elimu za wagombea, sifa ya kuwa na school of law pekee haitoshi kufanya mtu awe Rais wa TLS yafaa awe na PhD of any law
Nawatakieni usiku mwema wote
TLS isitumike kama kichaka cha kujificha wanaharakati wa siasa. Mwabukusi aamue afanye kazi ya TLS au afanye harakati za siasa.11 October 2026
Sakata la rais wa TLS Boniface Mwabukusi kutaka kuvuliwa uwakili kisa kesi ya Tundu Lissu laibuwa sura mpya,TLS waibuka na kutoa tamko
View: https://m.youtube.com/watch?v=g4FskZwRzi4Vipengele muhimu vya kesi:
Kesi ya Kikatiba Mahakamani: Baadhi ya mawakili wanachama wa TLS (wakiongozwa na mawakili kama Jebra Kambole na Paul Kisabo) wamefungua shauri la kikatiba kupinga jaribio la kutaka kumfutia uwakili Mwabukusi.
Amri ya Kusimamishwa: Mahakama imeamuru kuwa shauri la kinidhamu lililokuwa mbele ya Kamati ya Taifa ya Mawakili (NAC) litasimama kwanza
Msimamo wa TLS: Viongozi na mawakili wenza wanasisitiza kuwa kauli alizotoa Mwabukusi hazikuwa za kwake binafsi bali zilikuwa ni msimamo na maazimio halali ya jumla ya wanachama wa TLS
WADAU WA KIMATAIFA : EALS East Africa Law Society, SADCLA SADC Law Society , PALS Pan African Law society, PALU Pan African Lawyers Union etc watakiwa kufuatilia mwenendo wa TLS kusakamwa ..
We jamaa unaona sifa kuanzisha uzi. Ccm na serekali yake ndio wanapaswa kujiuzulu kwa kufadhili makundi ya kigaidi na viongozi wake wakijulikana m. Ref makundi ya shekhe Mwaipopo na makundi ya utekaji.Kichwa cha habari chajieleza kiukweli shutuma za Rais wa TLS bwana Mwabukusi ni kubwa mno ni shutuma hatari sana kwa ustawi wa Taifa letu na watanzania kwa ujumla ni shutuma za kiuuaji na kigaidi hapaswi kuwa ofsini na yafaa atuombe radhi watanzania.
kwamba alitumia Hela ya ofisi (serikali ) kufadhiri vurugu nchini hii ni rushwa pia hii haikubariki hata kama ni shutuma yafaa ATUPISHE AONDOKE KWENYE OFISI YA UMMA pia yafaa awe rumande huku taratibu zingine za kisheria zikiendelea.
Tunaviomba vyombo vya Dola vimzuie asiingie ofisini, ofisi IFUNGWE na CAG Afanye ukaguzi wa matumizi ya ofisi ya TLS tangu mwabukusi aliopoingia madarakan.....huku taratibu za uchaguzi wa kiongozi mwingine zikiendelea ili iwe fundisho.
Angalizo: mawakili acheni kuchagua viongozi kwa mihemko pia angalieni elimu za wagombea, sifa ya kuwa na school of law pekee haitoshi kufanya mtu awe Rais wa TLS yafaa awe na PhD of any law
Nawatakieni usiku mwema wote
Wewe ni mpumbavu sanaKichwa cha habari chajieleza kiukweli shutuma za Rais wa TLS bwana Mwabukusi ni kubwa mno ni shutuma hatari sana kwa ustawi wa Taifa letu na watanzania kwa ujumla ni shutuma za kiuuaji na kigaidi hapaswi kuwa ofsini na yafaa atuombe radhi watanzania.
kwamba alitumia Hela ya ofisi (serikali ) kufadhiri vurugu nchini hii ni rushwa pia hii haikubariki hata kama ni shutuma yafaa ATUPISHE AONDOKE KWENYE OFISI YA UMMA pia yafaa awe rumande huku taratibu zingine za kisheria zikiendelea.
Tunaviomba vyombo vya Dola vimzuie asiingie ofisini, ofisi IFUNGWE na CAG Afanye ukaguzi wa matumizi ya ofisi ya TLS tangu mwabukusi aliopoingia madarakan.....huku taratibu za uchaguzi wa kiongozi mwingine zikiendelea ili iwe fundisho.
Angalizo: mawakili acheni kuchagua viongozi kwa mihemko pia angalieni elimu za wagombea, sifa ya kuwa na school of law pekee haitoshi kufanya mtu awe Rais wa TLS yafaa awe na PhD of any law
Nawatakieni usiku mwema wote
Kwahyo ume log in ili uandike huo upumbavuWewe ni mpumbavu sana