instinct desire
JF-Expert Member
- Mar 17, 2026
- 2,503
- 1,757
- Thread starter
-
- #21
Leo msiingie ofsni nyie magaidi wa TLSWe jamaa unaona sifa kuanzisha uzi. Ccm na serekali yake ndio wanapaswa kujiuzulu kwa kufadhili makundi ya kigaidi na viongozi wake wakijulikana m. Ref makundi ya shekhe Mwaipopo na makundi ya utekaji.
Pili ccm ba serekali yake, hawaoni shida kumoa mtu case ngumu na kubwa kama case za ugaidi, uhaini, uhujumu uchumi, utakatushaji wa pesa nk. Kama wataona ni mkosoaji kwa mambo yao ya hovyo wanayotenda
Tuhuma unazosema zimethibishwa na mahakama gani?Nyie TLS achieni ofs ya umma hamfai
Apishe uchunguziTuhuma unazosema zimethibishwa na mahakama gani?
TLS siyo ofisi ya serikali kwamba wamzuie kiongozi kuingia ofisini. Otherwise kama kupost huu ujinga ndipo utapata posho kule ikululu basi nenda uchukue.Kichwa cha habari chajieleza kiukweli shutuma za Rais wa TLS bwana Mwabukusi ni kubwa mno ni shutuma hatari sana kwa ustawi wa Taifa letu na watanzania kwa ujumla ni shutuma za kiuuaji na kigaidi hapaswi kuwa ofsini na yafaa atuombe radhi watanzania.
kwamba alitumia Hela ya ofisi (serikali ) kufadhiri vurugu nchini hii ni rushwa pia hii haikubariki hata kama ni shutuma yafaa ATUPISHE AONDOKE KWENYE OFISI YA UMMA pia yafaa awe rumande huku taratibu zingine za kisheria zikiendelea.
Tunaviomba vyombo vya Dola vimzuie asiingie ofisini, ofisi IFUNGWE na CAG Afanye ukaguzi wa matumizi ya ofisi ya TLS tangu mwabukusi aliopoingia madarakan.....huku taratibu za uchaguzi wa kiongozi mwingine zikiendelea ili iwe fundisho.
Angalizo: mawakili acheni kuchagua viongozi kwa mihemko pia angalieni elimu za wagombea, sifa ya kuwa na school of law pekee haitoshi kufanya mtu awe Rais wa TLS yafaa awe na PhD of any law
Nawatakieni usiku mwema wote
Mahakama ndiyo yenye nguvu ya kisheria kumtia mtu hatiani au lah kutokana na ushahidi usiotia SHAKA na si BLABLA za Lumumba au MAFWELE.Kichwa cha habari chajieleza kiukweli shutuma za Rais wa TLS bwana Mwabukusi ni kubwa mno ni shutuma hatari sana kwa ustawi wa Taifa letu na watanzania kwa ujumla ni shutuma za kiuuaji na kigaidi hapaswi kuwa ofsini na yafaa atuombe radhi watanzania.
kwamba alitumia Hela ya ofisi (serikali ) kufadhiri vurugu nchini hii ni rushwa pia hii haikubariki hata kama ni shutuma yafaa ATUPISHE AONDOKE KWENYE OFISI YA UMMA pia yafaa awe rumande huku taratibu zingine za kisheria zikiendelea.
Tunaviomba vyombo vya Dola vimzuie asiingie ofisini, ofisi IFUNGWE na CAG Afanye ukaguzi wa matumizi ya ofisi ya TLS tangu mwabukusi aliopoingia madarakan.....huku taratibu za uchaguzi wa kiongozi mwingine zikiendelea ili iwe fundisho.
Angalizo: mawakili acheni kuchagua viongozi kwa mihemko pia angalieni elimu za wagombea, sifa ya kuwa na school of law pekee haitoshi kufanya mtu awe Rais wa TLS yafaa awe na PhD of any law
Nawatakieni usiku mwema wote
Kuna kigogo mkubwa wa CCM anatuhumiwa na wana CCM wenzake kufadhili vurugu za M029Tunaviomba vyombo vya Dola vimzuie asiingie ofisini
Tuanze na huyu kigogo wa TLSKuna kigogo mkubwa wa CCM anatuhumiwa na wana CCM wenzake kufadhili vurugu za M029
Soma hapa:
[URL unfurl="true" media="instagram:
Apishe uchunguziMahakama ndiyo yenye nguvu ya kisheria kumtia mtu hatiani au lah kutokana na ushahidi usiotia SHAKA na si BLABLA za Lumumba au MAFWELE.
Kama ulikuwa haujui Mwamubukusi ni hatari sana akitoea nje kuliko wa sasa huyu wa TLS.
Ni ofisi ya nani? Au ya chademaTLS siyo ofisi ya serikali kwamba wamzuie kiongozi kuingia ofisini. Otherwise kama kupost huu ujinga ndipo utapata posho kule ikululu basi nenda uchukue.
Pole sana .Mahakama ndiyo yenye nguvu ya kisheria kumtia mtu hatiani au lah kutokana na ushahidi usiotia SHAKA na si BLABLA za Lumumba au MAFWELE.
Kama ulikuwa haujui Mwamubukusi ni hatari sana akitoea nje kuliko wa sasa huyu wa TLS.
Apishe uchunguzi kwa TANTALILA za Mafwele?Apishe uchunguzi
Nyie vibaraka wa Zanzibar mwisho wenu ni 2028, na wakati huo tutakuwa tumekwishawajua, sijui mtakimbilia wapi. Hao ndiyo mwisho wao wa kuwa Rais Tanganyika. Ati Mwambukus anayetetea Tanganyika mnaona ni adui?Kichwa cha habari chajieleza kiukweli shutuma za Rais wa TLS bwana Mwabukusi ni kubwa mno ni shutuma hatari sana kwa ustawi wa Taifa letu na watanzania kwa ujumla ni shutuma za kiuuaji na kigaidi hapaswi kuwa ofsini na yafaa atuombe radhi watanzania.
kwamba alitumia Hela ya ofisi (serikali ) kufadhiri vurugu nchini hii ni rushwa pia hii haikubariki hata kama ni shutuma yafaa ATUPISHE AONDOKE KWENYE OFISI YA UMMA pia yafaa awe rumande huku taratibu zingine za kisheria zikiendelea.
Tunaviomba vyombo vya Dola vimzuie asiingie ofisini, ofisi IFUNGWE na CAG Afanye ukaguzi wa matumizi ya ofisi ya TLS tangu mwabukusi aliopoingia madarakan.....huku taratibu za uchaguzi wa kiongozi mwingine zikiendelea ili iwe fundisho.
Angalizo: mawakili acheni kuchagua viongozi kwa mihemko pia angalieni elimu za wagombea, sifa ya kuwa na school of law pekee haitoshi kufanya mtu awe Rais wa TLS yafaa awe na PhD of any law
Nawatakieni usiku mwema wote
Huna akili.Kichwa cha habari chajieleza kiukweli shutuma za Rais wa TLS bwana Mwabukusi ni kubwa mno ni shutuma hatari sana kwa ustawi wa Taifa letu na watanzania kwa ujumla ni shutuma za kiuuaji na kigaidi hapaswi kuwa ofsini na yafaa atuombe radhi watanzania.
kwamba alitumia Hela ya ofisi (serikali ) kufadhiri vurugu nchini hii ni rushwa pia hii haikubariki hata kama ni shutuma yafaa ATUPISHE AONDOKE KWENYE OFISI YA UMMA pia yafaa awe rumande huku taratibu zingine za kisheria zikiendelea.
Tunaviomba vyombo vya Dola vimzuie asiingie ofisini, ofisi IFUNGWE na CAG Afanye ukaguzi wa matumizi ya ofisi ya TLS tangu mwabukusi aliopoingia madarakan.....huku taratibu za uchaguzi wa kiongozi mwingine zikiendelea ili iwe fundisho.
Angalizo: mawakili acheni kuchagua viongozi kwa mihemko pia angalieni elimu za wagombea, sifa ya kuwa na school of law pekee haitoshi kufanya mtu awe Rais wa TLS yafaa awe na PhD of any law
Nawatakieni usiku mwema wote
Kichwa cha habari chajieleza kiukweli shutuma za Rais wa TLS bwana Mwabukusi ni kubwa mno ni shutuma hatari sana kwa ustawi wa Taifa letu na watanzania kwa ujumla ni shutuma za kiuuaji na kigaidi hapaswi kuwa ofsini na yafaa atuombe radhi watanzania.
kwamba alitumia Hela ya ofisi (serikali ) kufadhiri vurugu nchini hii ni rushwa pia hii haikubariki hata kama ni shutuma yafaa ATUPISHE AONDOKE KWENYE OFISI YA UMMA pia yafaa awe rumande huku taratibu zingine za kisheria zikiendelea.
Tunaviomba vyombo vya Dola vimzuie asiingie ofisini, ofisi IFUNGWE na CAG Afanye ukaguzi wa matumizi ya ofisi ya TLS tangu mwabukusi aliopoingia madarakan.....huku taratibu za uchaguzi wa kiongozi mwingine zikiendelea ili iwe fundisho.
Angalizo: mawakili acheni kuchagua viongozi kwa mihemko pia angalieni elimu za wagombea, sifa ya kuwa na school of law pekee haitoshi kufanya mtu awe Rais wa TLS yafaa awe na PhD of any law
Nawatakieni usiku mwema wote
TLS siyo taasisi ya kiserikali ndugu, kama hujui kitu kuna muda usiruhusu kila mtu akujue wewe huna timamu au ni mjinga. Na huenda wengi sana wa huo upande uliopo hamjui vitu vingi bongo zenu zinatoka makamasi tu. Uliza kwanza ujue juu ya kitu fulani ndipo upostNi ofisi ya nani? Au ya chadema
Kwahyo TLS ni NGO? haijaundwa na Bunge (Sheria) hebu kuwa serious basi.TLS siyo taasisi ya kiserikali ndugu, kama hujui kitu kuna muda usiruhusu kila mtu akujue wewe huna timamu au ni mjinga. Na huenda wengi sana wa huo upande uliopo hamjui vitu vingi bongo zenu zinatoka makamasi tu. Uliza kwanza ujue juu ya kitu fulani ndipo upost
Tofautisha taasisi ya serikali na chama cha kitaaluma, emu niambie je CWT ni taasisi ya serikali?Kwahyo TLS ni NGO? haijaundwa na Bunge (Sheria) hebu kuwa serious basi
Si Mali ya serikali Moja kwa moja lakini operation zake zinalindwa na katiba ya nchi, ndyo maana haziitwi NGO, ukitaka ubadilishe kifungu ndani ya cwt atakaye Fanya ni bunge siyo kiongozi wa Cwt, hivyo hivyo kwa TLS ndo maana uki mis behave unafunguliwa kesi na mawakili wa serikali.... nadhan umeelewa.Tofautisha taasisi ya serikali na chama cha kitaaluma, emu niambie je CWT ni taasisi ya serikali?