Kesho Tar. 16/10/2026 tunaiomba serikali imzuie Mwabukusi kuingia ofisini kutokana na shutuma zinazomkabili

Mabwege wanashabikia vitu ambavyo hawavijui. Mwaka jana tu Rais alikabidhi gari lililonunuliwa na Serikali kwa Rais wa TLS.

Wanajizima data tu. Haiwezekani Mwabukusi Rais wa TLS awe anatoa kauli na matamko kama Heche makamu mwenyekiti wa CHADEMA.

Lazima Mwabukusi ateme bungo, mark this post
 

Uwezi kukuta vijana wa zanzibar wanamatope kichwani like this

Na ndio maana inchi yao kwa sasa imekuwa kama ulaya kwa kila kitu

Miundombinu mpaka usafiri wa umma na huduma za afya

Vijana wetu wa bara wakiamka asubuh akilipwa elf kumi na bando la bure kazi yake ni kuongea matope tu

Do you think Mwabukusi akifungwa, au akiuliwa ndio magari ya mwendokasi yataongezeka?

Nenda zanzibar ukaone masoko ya ghorofa na uende mbagala ukaangalie masoko ya tope
 
Hafai kuwa ofsni hadi muda huu ni gaidi
 
So Rais alienda kumpa magari mawili Prado Gaidi? Na alikutana na kufanya mazungumzo na Gaidi?
Aisee kumbe we jamaa hujui mambo....RAIS AMETOA GARI KWA TLS KAMA TAASIS SIYO MALI YA MWABUKUSI. AKIONDOKA ANAACHA MAGALI NA KILA KITU,
Kama hujui TLS inalindwa na Sheria ya nchi namba 307, MLEZI mkuu wa TLS ni serikali.
 
Inaonekana jamaa alikulia mkeo maana sio kwa nyuzi izi aisee..!
Pole sanaa
 
Wewe unayo akili kweli? Naona unasapotiwa na watu kama Tlatlaa na Mwashambwa.
 
NYERERE - MIJITU INAYOOGOPA CHANGE NI MINYONYAJI, AKISIKIA MASIKINI WANA MKUTANO WANAOGOPA..
Julius Nyerere alisisitiza mabadiliko yaani reforms, anatoa hotuba kuhusu reforms hapa chini, na kusisitiza ni watawala tu ndiyo waoga wa reforms mabadiliko


View: https://m.youtube.com/watch?v=KxHK9VcjemY☝️
2025 May 26
It is the exploiters who fear change" Nyerere - Why are the people demanding NO REFORM NO ELECTION?

In this powerful speech, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere explains in detail how the colonial education system was designed to perpetuate exploitation, not to liberate Tanzanians. He explains that the poor have nothing to lose but hope for change, while the rich and exploiters fear any kind of reform that could bring change
 
Aisee kumbe we jamaa hujui mambo....RAIS AMETOA GARI KWA TLS KAMA TAASIS SIYO MALI YA MWABUKUSI. AKIONDOKA ANAACHA MAGALI NA KILA KITU,
Kama hujui TLS inalindwa na Sheria ya nchi namba 307, MLEZI mkuu wa TLS ni serikali.

Oh so ni kosa kusema serikali ya mama samia?
 
Kwani wewe chawa mwalimu ulimchagua Mwabukusi kuwa rais wa TLS?

Halafu nani alikwambia TLS ni ofisi ya umma?

Wa kujiuzulu wa kwanza ni bi kidude aliyechaguliwa na akina Mwambengele halafu wakatudanganya ni wananachi.
 
Mleta uzi anapuuza hii countdown ya miezi 17 ...mwenye akili anajua kuwa mwisho wa wahuni ni mbaye tena wamebakisha muda mchache sana ...baada ya hiyo countdown ya miezi 17 kinacho fuatia ni mchakamchaka
 
Ccm bwana hivi ni kweli mling'olewa ubongo?
 
Sasa kwa nini useme ni taasisi ya serikali na pia hakuna kitu au umoja usiolindwa na katiba na serikali haiwezi kuipangia hiyo taasisi au chama au umoja ni nani awe kiongozi wao. Hiyo itakuwa ni kinyume na wajibu wa serikali kwa hizo taasisi au vyama.
 
Utendaji wa TLS unaangaziwaje na serikali kwa hiyo unataka kutuaminisha kuwa serikali inafanya monitoring ya utendaji kazi wa TLS? Dondosha hapa hiyo sheria na hasa hicho kipengele cha sheria na katiba kinachosema hivyo usituwekee maneno matupu.
 
Aisee ni vigumu sana kukuelewesha.
Kwanza ujue kuwa TLS siyo NGO, PILI ujue kuwa TLS inalindwa na Sheria ya bunge no.307 ya mwaka 2023 revised.
Tatu ujue kuwa MLEZI WA TLS ni serikali.
Nne ujue mwenye uwezo wa kuifuta TLS ni serikali.
Tano ujue kuwa TLS ni Mali ya serikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…