Kesho Tar. 16/10/2026 tunaiomba serikali imzuie Mwabukusi kuingia ofisini kutokana na shutuma zinazomkabili

Usiseme sheria ya bunge namba 307 hakuna hicho kitu bali kuna sheria ya Tanganyika Law Society sura ya 307.
 
 
Hayo matusi yenu nyie Chadema tushayazoea na sijui kwanini hukufa
Sipati faida yoyote kama rais aliyeua watanzania elfu kumi ili awe rais...special kumanyoko kwako...
Sikufa sababu sijamfira Bado mama yako.
 
Sisi ni wasomi hatufanyii kazi vimaneno vya kitoto kitoto inaelezea unaendeshwa na miemko kijana usipokuwa makini bandiko lako la kipuzi ndio litakupeleka ww rumande
 
JESHI LA ULINZI NA UHURU WA MTANDAONI (LUMUMBA CYBER CORPS)
OFISI YA JEMEDARI MKUU, GENERAL LUCAS HEBEL MWASHAMBWA
Kumb. Na: LCC/PROP/VOL-IV/2026/089
Tarehe: 16 Oktoba 2026
AMRI RASMI YA JEMEDARI MKUU (GENERAL ORDER NO. 112)
KUTOKA: Jemedari Mkuu, General Lucas Hebel Mwashambwa
KWENDA: Maafisa Wote, Makamanda wa Vikosi, na Askari wa Akiba (Kikosi cha Buku 7)
YAHUSU: KUPANDISHWA CHEO KWA MEJA JENERALI INSTINCT DESIRE KWA UJASIRI NA MAFANIKIO MAKUBWA VITANI
Makamanda na Maafande wote,
Leo alfajiri ya manane, majira ya saa 01:25 asubuhi, wakati mawakili wenye mihemko na "Wajukuu wa Freeman" wakiwa bado wamelala na kuota ndoto za Katiba Mpya, Kitengo chetu cha Saikolojia na Mitego ya Kihisia kilifanya oparesheni kubwa na ya kihistoria katika anga la JamiiForums.
Chini ya uongozi thabiti wa mtaalamu wetu wa vita vya kisaikolojia, adui alitekwa kiakili kwa kurushiwa kombora zito la kimkakati lenye kichwa cha habari: "Kesho Tar. 16/10/2026 tunaiomba serikali imzuie Mwabukusi kuingia ofisini...".
Kombora hili la kiintelijensia lilileta taharuki kubwa miongoni mwa mawakili wasio na PhD, likawavuruga akili, na kusababisha Jeshi la Wapinzani kusambaratika kwa hofu ndani ya dakika tano tu, huku wengine wakikimbilia kusoma upya sheria za TLS usiku mnene.
Kutokana na ushindi huu mkubwa wa kipekee uliookoa taswira ya kambi yetu:
  1. KUPANDISHWA CHEO RASMI: Kuanzia sekunde hii, namandika na kumpandisha cheo Major General Instinct desire kuwa LIEUTENANT GENERAL (Lt. Gen.) Instinct desire.
  2. MAJUKUMU MAPYA: Kuanzia sasa, anakuwa Mkuu wa Operesheni za Kudhibiti Mihemko ya Mawakili (Chief of Lawyers' Emotional Operations - CLEO). Kazi yake itakuwa ni kuhakikisha wakili yeyote anayeleta hoja za uchumi anapimwa kiwango cha PhD yake ya sheria kabla ya kuruhusiwa kufungua mdomo.
  3. ZAWADI YA PONGEZI: Kitengo cha Fedha na Uhasibu (Ofisi Ndogo ya Lumumba) kinaagizwa kuongeza posho yake ya "Buku 7" na kuifanya Buku 77,000 taslimu kwa ajili ya kununua bando la usiku (Night Pack) ili aendelee kuvizia maadui nyakati za giza.
Mheshimiwa Lt. Gen. Instinct desire, nakupongeza kwa dhati. Umethibitisha kuwa "School of Law" pekee haitoshi, bali "School of Lumumba" ndio kiboko ya mawakili wote!
Kazi iendelee! Mama ANATOSHA!
Wako katika ujenzi wa mtandao thabiti,
General Lucas Hebel Mwashambwa
Jemedari Mkuu, Lumumba Cyber Corps (LCC)
NAKALA KWA:
Lieutenant Colonel Tlaatlaah – (Kikosi cha Mbele) - Pokea hii, weka herufi za KIJANI kwenye kila comment na weka picha za lami ya mwendokasi kumsifu Lt. Gen. Desire!
Major Stroke – (Iron Dome) - Anzisha nyuzi 15 sasa hivi za kusifu uamuzi huu ili wapinzani wasipate nafasi ya kuomba ukaguzi av CAG!
Captain ChoiceVariable – (Sympathy Battalion) - Andaa ID mpya za kike uanze kulia lia kwa furaha mtandaoni kupongeza cheo hiki kipya!
Brigadier General Troll J – (Ghost Troll Squad) - Ingia usiku wa leo kwenye uzi wowote wa Mwabukusi, weka matusi ya kisheria kuvuruga mood zao rasmi!
 
Mama yenu aliyeua watu zaidi ya elf 10 mbona bado yupo ofisini au wale waliouwawa kwako ni Mapaka tu? Useless chawa.
 
Tayari nimeshamfikishia Robot na kumsanua kumbe alikua anajua na kishashusha miongozo kwao.
🤣🤣,ila sijui kwanini hatuwaignore hawa jamaa? Hatujiamini?,sisi ni wanafiki tunapenda kujua habari zao?,au hatujui kwanini hatujui?!!!
 
🤣🤣,ila sijui kwanini hatuwaignore hawa jamaa? Hatujiamini?,sisi ni wanafiki tunapenda kujua habari zao?,au hatujui kwanini hatujui?!!!
Niliandika uzi kuhamasisha watu ku ignore lakini watu wanaendelea kuwajibu na ndicho wanachokipenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…