dikteta2020
JF-Expert Member
- Aug 14, 2018
- 595
- 3,991
Kesho kutakuwa na wasanii 200 na show itaanza asubuhi mpaka saa nne usiku. Mimi nimejaziwa mafuta gari tatu ziwapeleke wasubuhi na kuwarudisha saa nne usiku. In fact kesho Dar usafiri utakuwa tabu sana asubuhi.Naona Sasa wanatafuta viwanja ambavyo wanaweza kuwafungia mageti wasitoke baada ya show kuisha
Tunaomba watu wa Dar msije kutufanyia kama walichofanya watu wa Zanzibar
View attachment 1594274
Nukuu:Please aongee kile kingereza chake cha Leo nilikipenda kweli yani.
Kama watumishi wa serikali huitwa majina uwanjani atashindwaje kujaza uwanja? Kesho fiesta kuna wanamuziki gani nami nije?Raisi Magufuli ataunguruma kwenye kampeni za uraisi Dar uwanja wa Taifa Temeke kesho Tarehe 9 oktoba 2020.Jiji kesho kusimama
Kuanzia saa moja asubuhi wananchi wa Dar wametakiwa kufika mapema kwani SAA moja asubuhi shughuli za kampeni zitaanza rasmi uwanjani hapo
Toka kampeni zianze ni Magufuli pekee ambaye amekuwa akijaza umati mikutano yake mida ya asubuhi tofauti na wengine wa vyama vingine ambao mikutano yao hufanyika jioni giza likiwa linaingia na picha zinazopigwa zikiwa zimejaa Giza wahudhuriaji hawaonekani hata sura
Nukuu:
"We suppose to focus according our direction according our environment that's only way we can help our peoples no body should come and say that his there to save the problems of our peoples we are the one we are leader we suppose to change the direction"
Kwani Mimi nilimwambia awe comedian kwa kujaribu kuongea lugha ambayo hajawahi bata above D kwenye mitihani yake?Kwamba kiongozi bora ni kujua Kiingereza eeh?😂😂 Haya wewe unaekijua umelisaidia nini taifa la Tz? achilia mbali uwezekano wa wewe kuwa Rais.
Analitia aibu taifa huyu john.😁😁😜 Jiwe katika Ubora wake.
Hivi unafikili kwa Dar ni kiwanja gani kinatosha kufanyia kampeni za CCM kwa sasa! Ulitaka wakafanyie Zakhem! ambapo yule mbelgiji alishindwa kuujaza?!Naona Sasa wanatafuta viwanja ambavyo wanaweza kuwafungia mageti wasitoke baada ya show kuisha
Analitia aibu taifa huyu john.
Kazana kujisifia grade nzuri za English kwenye cheti chako, zitakusaidia siku moja.Kwani Mimi nilimwambia awe comedian kwa kujaribu kuongea lugha ambayo hajawahi bata above D kwenye mitihani yake?
Angeenda Mbagala Zakhem Kama nyinyi pasingetosha.Naona Sasa wanatafuta viwanja ambavyo wanaweza kuwafungia mageti wasitoke baada ya show kuisha
Aache kufanya maigizo yake mjini?😂😂Sawa, kesho lissu aende kumjulia zitto halo hospitali
Mna maneno ya kujikweza sana ,kabla ya kuingia ktk mchakato wa Uchaguzi si ninyi mlikuwa mkimpamba Mzee wa Watu kuwa hamna haja ya kampeni kutokana na aliyo kwisha kuyafanya !?.Sasa Dazeni nzima za Wasanii na Matangazo 24Hrs mpaka kwenye Mitaro ya Maji taka ni ya nini !?.Si mngetulia tu kusubiri kunuapisha ?Hivi unafikili kwa Dar ni kiwanja gani kinatosha kufanyia kampeni za CCM kwa sasa! Ulitaka wakafanyie Zakhem! ambapo yule mbelgiji alishindwa kuujaza?!
Lakini hata kwenye kampeni zenu, miziki huwa inasikika.Hizo ni kampeni au Tamasha la Music ,maana Waeanii kama wote kutumbuiza daaah sawa bana.
Wasanii gani watamsaidia kunguruma hiyo kesho? Siyo tunakuja halafu tunamkuta Peter Msechu pekee akichezesha tu kitambi na ule wimbo wake wa nyota naing'ae.
Fiesta asubuhi siku ya kazi,
Mkuu kama ni kweli basi amejitahidi sanaNukuu:
"We suppose to focus according our direction according our environment that's only way we can help our peoples no body should come and say that his there to save the problems of our peoples we are the one we are leader we suppose to change the direction"
Lakini hata kwenye kampeni zenu, miziki huwa inasikika.