NBC nimesikia za chini chini
Walete waleteee πShirikisho la mpira Tanzania, Tanzania Football Federation (TFF) Kesho linategemea kumtangaza Mdhamini mkuu wa ligi kuu Tanzania Bara kwa msimu wa 2021/2022.
Shirikisho hilo limewataka waandishi wa habari kuwepo kesho asubuhi katika ofisi za TFF zilizopo Dar es Salaam.
Hivyo kesho Mdhamini atatangazwa rasmi.
Hua ni bia siyo biya.Kampuni ya biya ya Tanzania breweries PLC kupitia biya yao ya castle lager.
So itaitwa Castal lager premium ligue CLPL
Sent from my vivo 1938 using JamiiForums mobile app
Utakuwa ni mgongano wa kimaslahi mkuu....π€£π€£Hivi MO hawezi dhamini?
Nawaza tu.
Lolote Lawezekana Ili Yanga Iwe Bingwa AsubuhiTunaweza shangazwa akawa gsm
πNgoja tusubiri tuone nani ni nani