Kesho TFF kumtangaza Mdhamini wa ligi kuu 2021/2022

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,030
Reaction score
20,391
Shirikisho la mpira Tanzania, Tanzania Football Federation (TFF) Kesho linategemea kumtangaza Mdhamini mkuu wa ligi kuu Tanzania Bara kwa msimu wa 2021/2022.

Shirikisho hilo limewataka waandishi wa habari kuwepo kesho asubuhi katika ofisi za TFF zilizopo Dar es Salaam.
Hivyo kesho Mdhamini atatangazwa rasmi.

Pia soma>>>>> NBC Bank Mdhamini mkuu ligi kuu Tanzania Bara 2021/2022
 
Mbungi Lazima Ipate Mdhamini Anayetokana Na Alcohol
Azam Angeendelea Na Kampuni Zake!!!
Kama Nawaona Utopolo Wanawaza Mdhamini Ana Rangi Nyekundu Kama Wakati Ule Vodacom Haa Haa
 
Shirikisho la mpira Tanzania, Tanzania Football Federation (TFF) Kesho linategemea kumtangaza Mdhamini mkuu wa ligi kuu Tanzania Bara kwa msimu wa 2021/2022.

Shirikisho hilo limewataka waandishi wa habari kuwepo kesho asubuhi katika ofisi za TFF zilizopo Dar es Salaam.
Hivyo kesho Mdhamini atatangazwa rasmi.
Walete waleteee 😍

#DaimaMbeleNyumaMwiko
 
Mbungi Lazima Ipate Mdhamini Anayetokana Na Alcohol
Azam Angeendelea Na Kampuni Zake!!!
Kama Nawaona Utopolo Wanawaza Mdhamini Ana Rangi Nyekundu Kama Wakati Ule Vodacom Haa Haa
Tunaweza shangazwa akawa gsm
 
Back
Top Bottom