Inaonekana mashahidi wanakuja kwa kusukuma sukuma sana.Trust me Urio alikuwa ndiyo main witness lakini kwa ushahidi aliutoa mahakamani prosecutors wamekuwa kwenye wakati mgumu kwani mashahidi wengi wamegoma kwenda kutoa ushahidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaonekana mashahidi wanakuja kwa kusukuma sukuma sana.Trust me Urio alikuwa ndiyo main witness lakini kwa ushahidi aliutoa mahakamani prosecutors wamekuwa kwenye wakati mgumu kwani mashahidi wengi wamegoma kwenda kutoa ushahidi
Kama mtu hakukamatwa kwenye simu basi tena hawampati tena Mbowe.Ushahidi kwenye simu ndio ulikuwa na uzito sana lakini ukiangalia mawasilisiliano yote hakuna mahali kunathibitisha kuwa walikuwa wanapanga njama za ugaidi, na sidhani kama ilikuwa kosa Kwamba Mbowe alifanya mawasiliano na urio au wahitakiwa wengine
Kwa maelezo yako kwakuwa waliwasiliana basi ni tayari walifanya njama za ugaidi kwakuwa aliyewasiliana naye amesema hivyo....hahaha umepitoka, walifungua kesi ni lazima wadhinitishe pasi na shaka kuwa mazungumzo yale yalikuwa ni kufanya njama za kupanga ugaidi so watadibitishaje kwa ujumbe wa sms au sauti au mbowe akiri tofautiHuelewi nini aisee? nimesema shida inakuja pale wale uliokuwa unawasiliananao wanaposema haukuwa unawasiliana kwa ajili ya ulinzi tu, bali kulikuwa na njama za ugaidi pia ndani yake pamoja na mambo mengine. sasa nini huelewi hapo? akili mmetupa wapi nini? kama wale aliokuwa anawasiliana nao wanasema kulikuwa na kitu fulani, tunahitaji mashahidi wote waje ili mwenyekiti apewe nafasi ya kujitetea tusikie upande wake pia. shida yake ninyi mnaogopa mashahidi, na kama ni hivyo basi hao mashahidi wanasema ukweli. si msubiri tuone hadi mwisho? mbona tatizo dogo tu hilo kuelewa hata mtu asiyeenda shule?
cha muhimu ushahidi kwamba waliwasiliana upo, hiyo inathibitisha kwamba kumbe anachokisema kuwa waliwasiliana ni cha kweli. kinachobaki hapo ni mmoja wapo wa wale waliokuwa wanawasiliana aje kusema walikuwa wanawasiliana kuhusu nini, basi, na mahakama itaona kama kuna haja ya kumuamini au la. ila kama amesema ukweli kwamba waliwasiliana na kukawa hakuna ubishi kwasababu ya print out, mahakama itashindwaje kumuamini kuhusu hicho atakachosema baadaye kuwa ndicho walikuwa wanawasiliana?Ushahidi kwenye simu ndio ulikuwa na uzito sana lakini ukiangalia mawasilisiliano yote hakuna mahali kunathibitisha kuwa walikuwa wanapanga njama za ugaidi, na sidhani kama ilikuwa kosa Kwamba Mbowe alifanya mawasiliano na urio au wahitakiwa wengine
prosecutors wana power sana mzee, wakiamua wanakusakizia kwa mahakama tu kwa samansi ili ukatae kwenda kutoa ushahidi uone. hujui kitu.Trust me Urio alikuwa ndiyo main witness lakini kwa ushahidi aliutoa mahakamani prosecutors wamekuwa kwenye wakati mgumu kwani mashahidi wengi wamegoma kwenda kutoa ushahidi
prosecutors wana power sana mzee, wakiamua wanakusakizia kwa mahakama tu kwa samansi ili ukatae kwenda kutoa ushahidi uone. hujui kitu.
Kwani hizo za voda na tigo zimeonyesha mwanga gani kuwa kulikuwa na njama za ugaidi?I am glad unakubali kwamba mbowe aliwasiliana. shida inakuja pale yule uliyekuwa unawasiliana naye anapoeleza yale mliyokuwa mnawasiliana naye, na ushahidi umesimama kuwa mliwasiliana hadanganyi, kwa credibility hiyo wewe utatoa ushahidi gani kujinasua? na printout za voda, airtel na tigo zimeletwa. hapo utakuwa umeshaelewa kifuatacho.
Wewe mpaka ushahidi ulipofikia kuna sehemu yeyote umeona kuna viashiria vya ugaidi bwashee?Huelewi nini aisee? nimesema shida inakuja pale wale uliokuwa unawasiliananao wanaposema haukuwa unawasiliana kwa ajili ya ulinzi tu, bali kulikuwa na njama za ugaidi pia ndani yake pamoja na mambo mengine. sasa nini huelewi hapo? akili mmetupa wapi nini? kama wale aliokuwa anawasiliana nao wanasema kulikuwa na kitu fulani, tunahitaji mashahidi wote waje ili mwenyekiti apewe nafasi ya kujitetea tusikie upande wake pia. shida yake ninyi mnaogopa mashahidi, na kama ni hivyo basi hao mashahidi wanasema ukweli. si msubiri tuone hadi mwisho? mbona tatizo dogo tu hilo kuelewa hata mtu asiyeenda shule?
Mahakama haifanyi kazi hivyo bwashee, ku-prove hizo allegations beyond reasonable doubt sio rahisi kiivyo. Eti kisa waliwasiliana kweli ndo wamuamini urio kwa tuhuma zake?cha muhimu ushahidi kwamba waliwasiliana upo, hiyo inathibitisha kwamba kumbe anachokisema kuwa waliwasiliana ni cha kweli. kinachobaki hapo ni mmoja wapo wa wale waliokuwa wanawasiliana aje kusema walikuwa wanawasiliana kuhusu nini, basi, na mahakama itaona kama kuna haja ya kumuamini au la. ila kama amesema ukweli kwamba waliwasiliana na kukawa hakuna ubishi kwasababu ya print out, mahakama itashindwaje kumuamini kuhusu hicho atakachosema baadaye kuwa ndicho walikuwa wanawasiliana?
mzee kama wewe ni mwanasheria, angalia nini madhara ya kukaidi subpoena halafu uje uongee tena hoja hii hapa.Kutoa ushahidi ni hiari, ukimlazimisha atakuja kukukana mbele ya mahakama utaaibika, lakini Mnamlazimishaje kama DCI Mstaafu
Nafikiri hujanielewa nakubaliana na hii section wala sina shida nayo, Naturally If a person can give evidence that benefits you, he or she must be willing to do so without the pressure tofauti na hapo a aweza kutoa weak evidence ambao not on your side.mzee kama wewe ni mwanasheria, angalia nini madhara ya kukaidi subpoena halafu uje uongee tena hoja hii hapa.
Section 147(1) ya Criminal Proceudre Act inasema,
Any person summoned to attend as a witness who, without lawful excuse, fails to attend as required by the summons or who, having attended, departs without having obtained the permission of the court or fails to attend after adjournment of the court after being ordered to attend, shall be liable by order of the court to a fine not exceeding five hundred shillings.
Pole ndugu,Hebu jibu hiyo hoja kwanza, naona unanipotezea muda. ongea kama mtu basi.
Hivi mnajua kwa nini mawakili wa Mbowe walijizatiti kuhakikisha maelezo ya kukiri akina Adamoo hayapokelewi? Kwa sababu ndio mzizi wa shauri hili. Kutupwa kwa pingamizi la kuomba yasipokelewe ilikuwa pigo kubwa. Iliyobaki sasa ni kuthibitisha kuwa kweli kulikuwa na mawasiliano na walikuwa wakiwasiliana nae walikiri kufanya hivyo kwa madhumuni waliyoyasema "kiri" wenyewe. Na HAWAKUTESWA wakati wakitoa mawlezo yao.cha muhimu ushahidi kwamba waliwasiliana upo, hiyo inathibitisha kwamba kumbe anachokisema kuwa waliwasiliana ni cha kweli. kinachobaki hapo ni mmoja wapo wa wale waliokuwa wanawasiliana aje kusema walikuwa wanawasiliana kuhusu nini, basi, na mahakama itaona kama kuna haja ya kumuamini au la. ila kama amesema ukweli kwamba waliwasiliana na kukawa hakuna ubishi kwasababu ya print out, mahakama itashindwaje kumuamini kuhusu hicho atakachosema baadaye kuwa ndicho walikuwa wanawasiliana?
Wewe ni miongoni mwa mawakili wa upande wowote au hii ni assumption?Hivi mnajua kwa nini mawakili wa Mbowe walijizatiti kuhakikisha maelezo ya kukiri akina Adamoo hayapokelewi? Kwa sababu ndio mzizi wa shauri hili. Kutupwa kwa pingamizi la kuomba yasipokelewe ilikuwa pigo kubwa. Iliyobaki sasa ni kuthibitisha kuwa kweli kulikuwa na mawasiliano na walikuwa wakiwasiliana nae walikiri kufanya hivyo kwa madhumuni waliyoyasema "kiri" wenyewe. Na HAWAKUTESWA wakati wakitoa mawlezo yao.
actually, ushahidi wetu sisi mawakili wa kujitegemea unaweza kuukana (turn hostile) ila wa prosecution ambao wanakuwa na statement yako mfukoni, huwezi kuturn hostile kwasababu ukiea declared so, unaweza kula mvua ya miaka 5. hivyo sio kitu kirahisi hivyo kwa prosecution kurukwa na shahidi. wapi ulishawahi kuona hiyo? the only one niliona ni kwa shahidi binti wa shule aliyetwikwa mimba na alikuwa anampenda jamaa. ila wengine wote sijawahi kuona na nimekuwepo mahakamani muda mrefu sana.Nafikiri hujanielewa nakubaliana na hii section wala sina shida nayo, Naturally If a person can give evidence that benefits you, he or she must be willing to do so without the pressure tofauti na hapo a aweza kutoa weak evidence ambao not on your side.
hiyo ni point ya muhimu sana umeongea, I hope hawa jamaa watakuelewa. wamesahau kuwa kuna maelezo yalipokelewa hapo yanakuwa corroborated to na viushahidi kadhaa wa kadhaa. kumbuka repudiated stateement inatakiwa kuwa corroborated and corrobration yenyewe ndiyo hiyo.Hivi mnajua kwa nini mawakili wa Mbowe walijizatiti kuhakikisha maelezo ya kukiri akina Adamoo hayapokelewi? Kwa sababu ndio mzizi wa shauri hili. Kutupwa kwa pingamizi la kuomba yasipokelewe ilikuwa pigo kubwa. Iliyobaki sasa ni kuthibitisha kuwa kweli kulikuwa na mawasiliano na walikuwa wakiwasiliana nae walikiri kufanya hivyo kwa madhumuni waliyoyasema "kiri" wenyewe. Na HAWAKUTESWA wakati wakitoa mawlezo yao.
Wewe ni miongoni mwa mawakili wa upande wowote au hii ni assumption?