Hii meza ambayo Boss kubwa wa Serikali Sekta ya Michezo aliyoitikisa Ina vinywaji vya gharama sana.
Unaweza ikamgharimu, yasije yakamkuta kama yaliyomkuta Nape na Kamati yake ya Uchunguzi kuhusu Mawingu FM
Kilichomkuta Nape aliishia kutumbuliwa na report ya kamati haikusomwa.
Wanasema Dunia inazunguka vizuri, what goes around comes around.
Maana Sandaland siyo mtu wa mchezo mchezo, mchango wake wa kuichangia Chama naona Alitoa Mpunga mrefu Sana.
Soma Sandaland Kuiburuza Mahakamani Wizara ya Michezo Kuhusu Jezi za Taifa Stars
Hivyo Sandaland ana kinga ya Chama na Namba 1.
Ngojea Tusubiri, yetu wananchi ni kuendelea kufuatilia kinachojiri.
Karibuni kwa uchambuzi wenu.