Kesi Imeshakuwa Ngumu: Jezi ya Taifa Msuluhishi Nani???

Kesi Imeshakuwa Ngumu: Jezi ya Taifa Msuluhishi Nani???

Mi naona kama waziri anajisumbua ,hapo kaingilia kazi isiyomuhusu ,Taifa stars iko chini ya TFF wao wana maamuzi yao na mikataba yao haiko chini ya waziri
Timu ya Taifa hupewa bendera kuipeperusha .....ni swala lenye maslahi ya Taifa na sio TFF pekee.
 
Taifa Stars ilikuwa na uzi wake wa blue iliyokolea hivi ulikuwa mzuri sana.
Katazame game ya Taifa Stars vs Uganda Goli linafungwq na Nizar khalfani
Then hapo hapo kuna watu waliona hiyo jezi mbaya, Huwez kufurahisha kila mtu
 
Kwa hiyo waurudie wa zamani?
Kama ilivyo Brazil au ujerumani au Italy kunakuwaga na Uzi flani ambao ni classical na huleta hamasa hadi mtoto atamani kuivaa hiyo jezi siku moja.
 
Hiko ni kichaka cha kumtaka akubaliane na uhuni ...jezi zile ni mbaya tukiweka unafiki pembeni na hazina kiwango cha kuionesha Taifa Stars kama mwenyeji kwa mara ya kwanza wa AFCON
Kabla ya jezi kutengenezwa lazima wawaonyeshe wahusika mockup. Yani haiwezekani jezi ziwe designed na kuzalishwa bila wao TFF kuona mockup yake. Kama TFF ambao ndio wahusika walikubaliana na design basi mfyatuaji hana kosa.
By the way mimi naona nzuri tu
 
Kabla ya jezi kutengenezwa lazima wawaonyeshe wahusika mockup. Yani haiwezekani jezi ziwe designed na kuzalishwa bila wao TFF kuona mockup yake. Kama TFF ambao ndio wahusika walikubaliana na design basi mfyatuaji hana kosa.
By the way mimi naona nzuri tu
Wewe utakuwa Muha ...ukiona hadi msukuma anakwambia hiyo jezi ni mbaya basi ujue ni ya hovyo haswa
 
Wewe utakuwa Muha ...ukiona hadi msukuma anakwambia hiyo jezi ni mbaya basi ujue ni ya hovyo haswa
Wasukuma na wewe haoo si mnapenda makelele. Mnapenda vitu vyenye kushout na mambo mengi lijezi lijae matangazo kama gazeti
 
Kwani design hiyo hiyo ikiongezewa picha ya yule mama wa Kizimkazi si zitapeneza tu? 😳
 
Makonda si wanasema anaitomber dola? Sasa kama anamfikishaga kileleni unadhani nani atasikilizwa?
 
Hii meza ambayo Boss kubwa wa Serikali Sekta ya Michezo aliyoitikisa Ina vinywaji vya gharama sana.

Unaweza ikamgharimu, yasije yakamkuta kama yaliyomkuta Nape na Kamati yake ya Uchunguzi kuhusu Mawingu FM

Kilichomkuta Nape aliishia kutumbuliwa na report ya kamati haikusomwa.

Wanasema Dunia inazunguka vizuri, what goes around comes around.

Maana Sandaland siyo mtu wa mchezo mchezo, mchango wake wa kuichangia Chama naona Alitoa Mpunga mrefu Sana.

Hivyo Sandaland ana kinga ya Chama na Namba 1.

Ngojea Tusubiri, yetu wananchi ni kuendelea kufuatilia kinachojiri.

Karibuni kwa uchambuzi wenu.
Bongo hakuna designer wa Jezi, TFF watafute kampuni ya kudesign jezi inayoeleweka Sunderland na Vunja Bei wasambazaji
 
Back
Top Bottom