Hilo jambo lina harufu ya serikali kuingilia masuala ya soka. Swali la kujiuliza, timu ya taifa ni mali ya serikali au TFF?Hii meza ambayo Boss kubwa wa Serikali Sekta ya Michezo aliyoitikisa Ina vinywaji vya gharama sana.
Unaweza ikamgharimu, yasije yakamkuta kama yaliyomkuta Nape na Kamati yake ya Uchunguzi kuhusu Mawingu FM
Kilichomkuta Nape aliishia kutumbuliwa na report ya kamati haikusomwa.
Wanasema Dunia inazunguka vizuri, what goes around comes around.
Maana Sandaland siyo mtu wa mchezo mchezo, mchango wake wa kuichangia Chama naona Alitoa Mpunga mrefu Sana.
Hivyo Sandaland ana kinga ya Chama na Namba 1.
Ngojea Tusubiri, yetu wananchi ni kuendelea kufuatilia kinachojiri.
Karibuni kwa uchambuzi wenu.
Huyo Sandaland akae mkao wa machale kumcheza.Hii meza ambayo Boss kubwa wa Serikali Sekta ya Michezo aliyoitikisa Ina vinywaji vya gharama sana.
Unaweza ikamgharimu, yasije yakamkuta kama yaliyomkuta Nape na Kamati yake ya Uchunguzi kuhusu Mawingu FM
Kilichomkuta Nape aliishia kutumbuliwa na report ya kamati haikusomwa.
Wanasema Dunia inazunguka vizuri, what goes around comes around.
Maana Sandaland siyo mtu wa mchezo mchezo, mchango wake wa kuichangia Chama naona Alitoa Mpunga mrefu Sana.
Hivyo Sandaland ana kinga ya Chama na Namba 1.
Ngojea Tusubiri, yetu wananchi ni kuendelea kufuatilia kinachojiri.
Karibuni kwa uchambuzi wenu.
Mbaya rangi ama? Umeinunua ukaona ipo chini ya kiwango?Jezi ni mbaya hilo halina ubishi ...mengine yajadiliwe
Hivi unaweza kuifananisha na ule uzi wa Wananchi ?Mbaya rangi ama? Umeinunua ukaona ipo chini ya kiwango?
Basi zitumike hizo za wananchi...akili za wayanga banaHivi unaweza kuifananisha na ule uzi wa Wananchi ?
Kuna ile moja ina bendera ya Taifa mbavuniBasi zitumike hizo za wananchi...akili za wayanga bana
Jezi ni mbaya hilo halina ubishi ...mengine yajadiliwe
Hilo jambo lina harufu ya serikali kuingilia masuala ya soka. Swali la kujiuliza, timu ya taifa ni mali ya serikali au TFF?
Hata hizi jezi wanazovaa madogo hazina mvuto na zinaharibu saikolojia yao mchezoniKweli ni mbaya mno kwa kukosekana picha ya mama mbele!
Makonda anapambania 10%
Hiko ni kichaka cha kumtaka akubaliane na uhuni ...jezi zile ni mbaya tukiweka unafiki pembeni na hazina kiwango cha kuionesha Taifa Stars kama mwenyeji kwa mara ya kwanza wa AFCONMakonda anapambania 10%
Kuna kipindi timu yoyote imetoa jezi na mkazisifia ni mzuri?Hiko ni kichaka cha kumtaka akubaliane na uhuni ...jezi zile ni mbaya tukiweka unafiki pembeni na hazina kiwango cha kuionesha Taifa Stars kama mwenyeji kwa mara ya kwanza wa AFCON
Taifa Stars ilikuwa na uzi wake wa blue iliyokolea hivi ulikuwa mzuri sana.Kuna kipindi timu yoyote imetoa jezi na mkazisifia ni mzuri?
Mi naona kama waziri anajisumbua ,hapo kaingilia kazi isiyomuhusu ,Taifa stars iko chini ya TFF wao wana maamuzi yao na mikataba yao haiko chini ya waziriHilo jambo lina harufu ya serikali kuingilia masuala ya soka. Swali la kujiuliza, timu ya taifa ni mali ya serikali au TFF?
Kabla ya jersey kitoka si huwa unapata fursa ya kuona design yake kwa soft copy??Hivi unaweza kuifananisha na ule uzi wa Wananchi ?
Kwa hiyo waurudie wa zamani?Taifa Stars ilikuwa na uzi wake wa blue iliyokolea hivi ulikuwa mzuri sana.
Katazame game ya Taifa Stars vs Uganda Goli linafungwq na Nizar khalfani