Kesi ishakuwa ngumu hii, No Reforms No Election imeshawazidi nguvu System na CCM

Kutokana na kupokelewa kwa kiwango cha kutisha ajenda ya No Reform No Elections napenda kuwashauri system na CCM wasitishe mradi wao wa kutoa fedha kwa madalali eti kuonesha Chadema inakufa

Hiki Chama badala ya kufa ndo kinazidi kupendwa kwa kiwango cha kutisha na Watanzania.

jioneeni ya leo Kahama wenyewe!
View attachment 3337332View attachment 3337333View attachment 3337334View attachment 3337335View attachment 3337336View attachment 3337337View attachment 3337338View attachment 3337339
Shetani hajawahi na kamwe hataweza kushindana na Mungu.Ccm kazi kwenu kuamua kunyoa ama kusuka.
 
Je wanakopita wanasajili wanac
Kutokana na kupokelewa kwa kiwango cha kutisha ajenda ya No Reform No Elections napenda kuwashauri system na CCM wasitishe mradi wao wa kutoa fedha kwa madalali eti kuonesha Chadema inakufa

Hiki Chama badala ya kufa ndo kinazidi kupendwa kwa kiwango cha kutisha na Watanzania.

jioneeni ya leo Kahama wenyewe!
View attachment 3337332View attachment 3337333View attachment 3337334View attachment 3337335View attachment 3337336View attachment 3337337View attachment 3337338View attachment 3337339
Je wanakopita wanasajili wanachama wapya?
Vipi upande wa ile partition?
 
Mwanadamu usicheze na uweza wa Mungu, CCM kwishaaaa... chaliii
Hao G55 wao wanatawanyika, hakukaliki.

Hapo ni Heche tu.

CCM hawana namna tena.

Asante Mungu kusikia vilio vyetu - umetenda.
We acha tu. Hapo jembe Lissu lipo ndani.
 
Wanatakiwa kuitikia kwa wito huu kwenye part ya "No election" mikutano huwa inajaa.
 
Kutokana na kupokelewa kwa kiwango cha kutisha ajenda ya No Reform No Elections napenda kuwashauri system na CCM wasitishe mradi wao wa kutoa fedha kwa madalali eti kuonesha Chadema inakufa

Hiki Chama badala ya kufa ndo kinazidi kupendwa kwa kiwango cha kutisha na Watanzania.

jioneeni ya leo Kahama wenyewe!
View attachment 3337332View attachment 3337333View attachment 3337334View attachment 3337335View attachment 3337336View attachment 3337337View attachment 3337338View attachment 3337339
Nasikia wanataka wakifute Kwa nguvu
 
Kwa mujibu wa serikali, agenda ya mabadiliko ya uchaguzi zilishazingatiwa na kufanyiwa marekebisho stahiki.

Sasa ni wakati wa kujiamini na kuvaa magwanda ya mapambano ili kukutana kwenye boksi la kura!

..uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 ulikuwa wa hovyo kupita kiasi ndio maana mabadiliko zaidi yanahitajika.
 
Back
Top Bottom