CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
SiaminiMkuu, wewe unaamini kwamba serikali imejenga SGR, JNHPP, nk?
SiaminiMkuu, wewe unaamini kwamba serikali imejenga SGR, JNHPP, nk?
Na bado wanatoa tone tone kuichangia operesheni NRNETukumbushane tu hao ni vijana wote wameenda kwa uamuzi wao wenyewe bila posho ya buku 10 na tshirt.
Watazidi tu kujiharibia na ikiwezekana kutengeneza uasiNasikia wanataka wakifute Kwa nguvu
😀😀 Mkuu unachanganya dini na siasa, ohoo samahani eti dini na siasa. Unachanganya soka na siasa!Aloo!
Yuko wapi Lucas Mwashambwa na mwenzie Tlaatlaah ???
Njoeni huku mtupatie tathmini ya uhai wa chama pinzani.
Wapi Mbowe?
Wapi Msigwa?
Wapi TAL?
Wapi Bony Yai?
Wapi Silinde?
Wapi Narasy?
Wapi Mwita Waitara?
Wapi Humphrey Polepole na Bashiru??
Wapi CPA Amos McCullough na wale G55 wabunifu wa siasa?
Wapi ZZZ na agenda kuu za kitaifa???
Ni hayo tu wakuu.
Nasikia watani wa Jangwani wanamwambia kila mtu: HATUCHEZI NG'O!
Napendekeza sana Rais Samia afanye kitu hao jamaa walazimishwe kucheza, watake wasitake - tena kwenye uwanja wa Amani Zenj!
Ikiwezekana wekundu wa Msimbazi wapigwe faini pesa ndefu kwa kuogopa kupeleka timu uwanjani ile tarehe 8!
Huyo anajizima data tu anafahamu kabisa kuwa kwa sheria na mifumo ya uchaguzi iliyopo haiwezi kutupatia uchaguzi huru na wa haki...uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 ulikuwa wa hovyo kupita kiasi ndio maana mabadiliko zaidi yanahitajika.
Mkuu, wajeda wasipokuwepo, hao jamaa wanaweza kuzichanga wenyewe kwa wenyewe!..mikutano ya chadema ni ya amani.
..hakuna ulazima wa Polisi kuwepo ktk mikutano hiyo.
^Tutashinda uchaguzi kwa tume hii hii.^ ~TAL, 2020.Huyo anajizima data tu anafahamu kabisa kuwa kwa sheria na mifumo ya uchaguzi iliyopo haiwezi kutupatia uchaguzi huru na wa haki.
Itoshe tu kusema nakupuuza.^Tutashinda uchaguzi kwa tume hii hii.^ ~TAL, 2020.
Chadema imekufa.Acheni kujitekenya na kujichekesha wenyewe kama wajinga na walevi wa gongo
Dkt. Kitima alishasambaratisha ukuta unaotenganisha dini na siasa.😀😀 Mkuu unachanganya dini na siasa, ohoo samahani eti dini na siasa. Unachanganya soka na siasa!
CHADEMA ni Imani! Imagine hao wote wamekuja kwa Mapenzi Yao, hakuna hongo ya t-shirt wala kitenge wala kubebwa na magari, ni upendo wa hali ya juu sanaKutokana na kupokelewa kwa kiwango cha kutisha ajenda ya No Reform No Elections napenda kuwashauri system na CCM wasitishe mradi wao wa kutoa fedha kwa madalali eti kuonesha Chadema inakufa
Hiki Chama badala ya kufa ndo kinazidi kupendwa kwa kiwango cha kutisha na Watanzania.
jioneeni ya leo Kahama wenyewe!
View attachment 3337332View attachment 3337333View attachment 3337334View attachment 3337335View attachment 3337336View attachment 3337337View attachment 3337338View attachment 3337339
Mzee Wa-hasira Yuko Wapi?Chadema imekufa.
POlisi wa central ndio wenye shida sana nchi hii mbwa waleKwenye hii mikutano naona polisi wanatoka ushirikiano mzuri sana..
Mkuu, hapo ni wazi facts zimekutana na akili mkarara na mgando isiyotaka ukweli.Itoshe tu kusema nakupuuza.
Just imagine 50 or so years to come - bila shaka picha kama hizi zitawekwa kwenye vitabu vya historia rasmi ya nchi.Picha za hisia Kali sana raia wamekaa kwa utulivu mkubwa wakisikilizia nondo zinavyopenya kwenye vains zao. Halafu kwanini umati wote huu mwanamke nimemuona mmoja tu? Zoom uoneView attachment 3337379
Nimekupuuza.Mkuu, hapo ni wazi facts zimekutana na akili mkarara na mgando isiyotaka ukweli.
Kwa jinsi walivyo wapumbavu, inawezekana kabisa acha tuone....CCM wamezidiwa vibaya sana na CDMNasikia wanataka wakifute Kwa nguvu