Kesi ishakuwa ngumu hii, No Reforms No Election imeshawazidi nguvu System na CCM

Kesi ishakuwa ngumu hii, No Reforms No Election imeshawazidi nguvu System na CCM

Samia aache kuvimbishwa kichwa na chawa,hoja ya mabadiliko katika mifumo ya uchaguzi ili uwepo uchaguzi wa huru na wa haki siyo ya Chadema ni hoja ya kitaifa. Ukiwepo uchaguzi wa huru na haki hata akishinda Samia yeye mwenyewe atajisikia fahari kuwa amechaguliwa na Watanzania lakini wanachokwenda kufanya Urais wake hauna thamani kwani utakuwa umepatikana kwa hila na udanganyifu jambo ambalo hata yeye nafsi yake inalijua.
MABADILIKO HAYAZUILIKI KWA PROPOGANDA. NYERERE ALIPOONA UKOMISITI UNAANGUKA KWA KIPAJI CHA KUONA MBALI ALIKUBALI VYAMA VINGI NA KUBADILI MFUMO WA KISIASA NCHINI. CCM HILI NI BOMU LINGINE BUSARA ZITUMIKE
 
Samia aache kuvimbishwa kichwa na chawa,hoja ya mabadiliko katika mifumo ya uchaguzi ili uwepo uchaguzi wa huru na wa haki siyo ya Chadema ni hoja ya kitaifa. Ukiwepo uchaguzi wa huru na haki hata akishinda Samia yeye mwenyewe atajisikia fahari kuwa amechaguliwa na Watanzania lakini wanachokwenda kufanya Urais wake hauna thamani kwani utakuwa umepatikana kwa hila na udanganyifu jambo ambalo hata yeye nafsi yake inalijua.
Na hatakaa apewe hekima kamwe
 
Kutokana na kupokelewa kwa kiwango cha kutisha ajenda ya No Reform No Elections napenda kuwashauri system na CCM wasitishe mradi wao wa kutoa fedha kwa madalali eti kuonesha Chadema inakufa

Hiki Chama badala ya kufa ndo kinazidi kupendwa kwa kiwango cha kutisha na Watanzania.

jioneeni ya leo Kahama wenyewe!
View attachment 3337332View attachment 3337333View attachment 3337334View attachment 3337335View attachment 3337336View attachment 3337337View attachment 3337338View attachment 3337339
 
Just imagine 50 or so years to come - bila shaka picha kama hizi zitawekwa kwenye vitabu vya historia rasmi ya nchi.

Kila mtu mwenye nia njema na taifa hili - mzalendo halisi - anastahili kusikilizwa na kuheshimiwa mawazo yake, licha ya chama, dini, elimu, historia yake iliyopita, kabila lake au mahali anakotokea nchini.

Wanaong'ang'ania vyama vya siasa tu na kusahau taifa wanaikosea sana nchi nzuri ya Tanzania.
Nakubali man Mimi pia nipo Jirani na wilaya hiyo nawangoja sana
 
Huko mbeleni Mwashambwa litakuwa ni msamiati katika lugha ya Kiswahili kuelezea kiwango cha juu cha unagiki, uchawa na upungufu wa akili.

Mtu atakapoambiwa, wewe ni Mwashambwa, atajiona ubinadamu wake una madhaka.
Kama 'kilaza'...
 
Kutokana na kupokelewa kwa kiwango cha kutisha ajenda ya No Reform No Elections napenda kuwashauri system na CCM wasitishe mradi wao wa kutoa fedha kwa madalali eti kuonesha Chadema inakufa

Hiki Chama badala ya kufa ndo kinazidi kupendwa kwa kiwango cha kutisha na Watanzania.

jioneeni ya leo Kahama wenyewe!
View attachment 3337332View attachment 3337333View attachment 3337334View attachment 3337335View attachment 3337336View attachment 3337337View attachment 3337338View attachment 3337339
Hali ni tete kwa Upande wao
 
Samia aache kuvimbishwa kichwa na chawa,
Samia hana mategemeo tena na chawa kumrudisha kwenye uongozi; hatua hii imekwisha pita, haipo tena!
Sasa hivi matumaini pekee aliyo baki nayo, ni juu ya "Genge la askari wake" ambao sasa wanatumia kila njia za vitisho, kuteka, kuumiza, na hata kuua, ili Samia abaki madarakani. Njia hii itazidi kuwa ngumu zaidi kadri tunavyosonga mbele, na waTanzania wanaonyesha kuchukizwa kwao.

hoja ya mabadiliko katika mifumo ya uchaguzi ili uwepo uchaguzi wa huru na wa haki siyo ya Chadema ni hoja ya kitaifa. Ukiwepo uchaguzi wa huru na haki hata akishinda Samia yeye mwenyewe atajisikia fahari kuwa amechaguliwa na Watanzania
Sikuwahi kujuwa kwamba nawe mkuu 'CHIEF PRIEST', nawe mara moja moja unajifunza kazi ya uchekeshaji wasomaji wako! Huu muujiza wa Samia kushinda uchaguzi wa kupigiwa kura HURU na za HAKI hadi kuwa mshindi wa urais wa nchi hii? Afanye kitu gani kwa wakati huu uliopo kabla ya uchaguzi; hata kama utasogezwa mbele! Huyo atakayeshindana naye atakuwa mtu wa namna gani huyo?
 
Back
Top Bottom