Wewe unayetumika kama toilet paper ndiye mpumbavu. Huyo mama yako wa bosheni mwenyewe anatamani kurusha taulo wewe umekalia upuuzi tu humu. Kesi imeshakuwa ngumu hii.Acheni kujitekenya na kujichekesha wenyewe kama wajinga na walevi wa gongo
Acha ujinga we kenge...yaani mmebinywa nyeti vilivyo hamna pa kwenda. Muda wetu ushafikia tamati.Acheni kujitekenya na kujichekesha wenyewe kama wajinga na walevi wa gongo
Shetani hajawahi na kamwe hataweza kushindana na Mungu.Ccm kazi kwenu kuamua kunyoa ama kusuka.Kutokana na kupokelewa kwa kiwango cha kutisha ajenda ya No Reform No Elections napenda kuwashauri system na CCM wasitishe mradi wao wa kutoa fedha kwa madalali eti kuonesha Chadema inakufa
Hiki Chama badala ya kufa ndo kinazidi kupendwa kwa kiwango cha kutisha na Watanzania.
jioneeni ya leo Kahama wenyewe!
View attachment 3337332View attachment 3337333View attachment 3337334View attachment 3337335View attachment 3337336View attachment 3337337View attachment 3337338View attachment 3337339
Hawa akina Luca inaweza kuwa kazi yao ni mumwingiza chakaWewe unayetumika kama toilet paper ndiye mpumbavu. Huyo mama yako wa bosheni mwenyewe anatamani kurusha taulo wewe umekalia upuuzi tu humu. Kesi imeshakuwa ngumu hii.
Hujabubujikwa na machozi?Acheni kujitekenya na kujichekesha wenyewe kama wajinga na walevi wa gongo
Mwashambwa unaitwa huku kutoa majibu ya swali.Hujabubujikwa na machozi?
Je wanakopita wanasajili wanachama wapya?Kutokana na kupokelewa kwa kiwango cha kutisha ajenda ya No Reform No Elections napenda kuwashauri system na CCM wasitishe mradi wao wa kutoa fedha kwa madalali eti kuonesha Chadema inakufa
Hiki Chama badala ya kufa ndo kinazidi kupendwa kwa kiwango cha kutisha na Watanzania.
jioneeni ya leo Kahama wenyewe!
View attachment 3337332View attachment 3337333View attachment 3337334View attachment 3337335View attachment 3337336View attachment 3337337View attachment 3337338View attachment 3337339
We acha tu. Hapo jembe Lissu lipo ndani.Mwanadamu usicheze na uweza wa Mungu, CCM kwishaaaa... chaliii
Hao G55 wao wanatawanyika, hakukaliki.
Hapo ni Heche tu.
CCM hawana namna tena.
Asante Mungu kusikia vilio vyetu - umetenda.
Mkuu, wewe unaamini kwamba serikali imejenga SGR, JNHPP, nk?Nimeandika nimefuta mara tano,nikuulize tu wewe unaamini hayo maneno ya serikali hii?
Wakilazimisha uchaguzi mwaka huu turn out haitazidi laki 7. Amini maneno yanguHili jambo la NRNE linatakiwa kufanyika ili kurudisha watu kwenye mstari wa uchaguzi,sasa asilimia kubwa ya Watanzania hasa vijana hawana kabisa muda na zoezi la kuchagua viongozi(uchaguzi)
Kwenye hii mikutano naona polisi wanatoka ushirikiano mzuri sana..
Nasikia wanataka wakifute Kwa nguvuKutokana na kupokelewa kwa kiwango cha kutisha ajenda ya No Reform No Elections napenda kuwashauri system na CCM wasitishe mradi wao wa kutoa fedha kwa madalali eti kuonesha Chadema inakufa
Hiki Chama badala ya kufa ndo kinazidi kupendwa kwa kiwango cha kutisha na Watanzania.
jioneeni ya leo Kahama wenyewe!
View attachment 3337332View attachment 3337333View attachment 3337334View attachment 3337335View attachment 3337336View attachment 3337337View attachment 3337338View attachment 3337339
Kwa mujibu wa serikali, agenda ya mabadiliko ya uchaguzi zilishazingatiwa na kufanyiwa marekebisho stahiki.
Sasa ni wakati wa kujiamini na kuvaa magwanda ya mapambano ili kukutana kwenye boksi la kura!