Kesi ishakuwa ngumu hii, No Reforms No Election imeshawazidi nguvu System na CCM

😀😀 Mkuu unachanganya dini na siasa, ohoo samahani eti dini na siasa. Unachanganya soka na siasa!
 
..mikutano ya chadema ni ya amani.

..hakuna ulazima wa Polisi kuwepo ktk mikutano hiyo.
Mkuu, wajeda wasipokuwepo, hao jamaa wanaweza kuzichanga wenyewe kwa wenyewe!

Nasikia tayari wameanza kugawana vyeo vya PM na mawaziri endapo wakishinda uchaguzi.

Nashauri ulinzi uendelee kwao kama kawaida ili kuepusha shari miongoni mwao!
 
😀😀 Mkuu unachanganya dini na siasa, ohoo samahani eti dini na siasa. Unachanganya soka na siasa!
Dkt. Kitima alishasambaratisha ukuta unaotenganisha dini na siasa.

I mean, hivi juzi juzi nilisikia kwa macho yangu; sorry, masikio yangu - waziri wa fedha MN akisema hadharani kwamba hawachezi.

Basi mimi nilidhani amejiunga na NRNE kiaina - jamaa ameondoa vilevile ukuta kati ya soka na siasa!
 
CHADEMA ni Imani! Imagine hao wote wamekuja kwa Mapenzi Yao, hakuna hongo ya t-shirt wala kitenge wala kubebwa na magari, ni upendo wa hali ya juu sana
Your browser is not able to display this video.
 
Picha za hisia Kali sana raia wamekaa kwa utulivu mkubwa wakisikilizia nondo zinavyopenya kwenye vains zao. Halafu kwanini umati wote huu mwanamke nimemuona mmoja tu? Zoom uoneView attachment 3337379
Just imagine 50 or so years to come - bila shaka picha kama hizi zitawekwa kwenye vitabu vya historia rasmi ya nchi.

Kila mtu mwenye nia njema na taifa hili - mzalendo halisi - anastahili kusikilizwa na kuheshimiwa mawazo yake, licha ya chama, dini, elimu, historia yake iliyopita, kabila lake au mahali anakotokea nchini.

Wanaong'ang'ania vyama vya siasa tu na kusahau taifa, wanaikosea sana nchi nzuri ya Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…