And more likely economic sanctions lazima nchi ikutane nazoWatazidi tu kujiharibia na ikiwezekana kutengeneza uasi
Huku ndiyo hatutaki kabisa kumsikia huyo mshangazi muuaji.Kanda ya ziwa you owe my respect😡
😆😆😆🫡👉💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐Kudadeki mpaka wajambe.
Spana ziendelee.
MABADILIKO HAYAZUILIKI KWA PROPOGANDA. NYERERE ALIPOONA UKOMISITI UNAANGUKA KWA KIPAJI CHA KUONA MBALI ALIKUBALI VYAMA VINGI NA KUBADILI MFUMO WA KISIASA NCHINI. CCM HILI NI BOMU LINGINE BUSARA ZITUMIKESamia aache kuvimbishwa kichwa na chawa,hoja ya mabadiliko katika mifumo ya uchaguzi ili uwepo uchaguzi wa huru na wa haki siyo ya Chadema ni hoja ya kitaifa. Ukiwepo uchaguzi wa huru na haki hata akishinda Samia yeye mwenyewe atajisikia fahari kuwa amechaguliwa na Watanzania lakini wanachokwenda kufanya Urais wake hauna thamani kwani utakuwa umepatikana kwa hila na udanganyifu jambo ambalo hata yeye nafsi yake inalijua.
Nikikumbuka mdude ajapatikana roho inaniuma sio poa broHuku ndiyo hatutaki kabisa kumsikia huyo mshangazi muuaji.
Na hatakaa apewe hekima kamweSamia aache kuvimbishwa kichwa na chawa,hoja ya mabadiliko katika mifumo ya uchaguzi ili uwepo uchaguzi wa huru na wa haki siyo ya Chadema ni hoja ya kitaifa. Ukiwepo uchaguzi wa huru na haki hata akishinda Samia yeye mwenyewe atajisikia fahari kuwa amechaguliwa na Watanzania lakini wanachokwenda kufanya Urais wake hauna thamani kwani utakuwa umepatikana kwa hila na udanganyifu jambo ambalo hata yeye nafsi yake inalijua.
Kutokana na kupokelewa kwa kiwango cha kutisha ajenda ya No Reform No Elections napenda kuwashauri system na CCM wasitishe mradi wao wa kutoa fedha kwa madalali eti kuonesha Chadema inakufa
Hiki Chama badala ya kufa ndo kinazidi kupendwa kwa kiwango cha kutisha na Watanzania.
jioneeni ya leo Kahama wenyewe!
View attachment 3337332View attachment 3337333View attachment 3337334View attachment 3337335View attachment 3337336View attachment 3337337View attachment 3337338View attachment 3337339
Nakubali man Mimi pia nipo Jirani na wilaya hiyo nawangoja sanaJust imagine 50 or so years to come - bila shaka picha kama hizi zitawekwa kwenye vitabu vya historia rasmi ya nchi.
Kila mtu mwenye nia njema na taifa hili - mzalendo halisi - anastahili kusikilizwa na kuheshimiwa mawazo yake, licha ya chama, dini, elimu, historia yake iliyopita, kabila lake au mahali anakotokea nchini.
Wanaong'ang'ania vyama vya siasa tu na kusahau taifa wanaikosea sana nchi nzuri ya Tanzania.
Hatari sana. No Reform No Election ni big deal saivi Tanzania.
Kama 'kilaza'...Huko mbeleni Mwashambwa litakuwa ni msamiati katika lugha ya Kiswahili kuelezea kiwango cha juu cha unagiki, uchawa na upungufu wa akili.
Mtu atakapoambiwa, wewe ni Mwashambwa, atajiona ubinadamu wake una madhaka.
Hali ni tete kwa Upande waoKutokana na kupokelewa kwa kiwango cha kutisha ajenda ya No Reform No Elections napenda kuwashauri system na CCM wasitishe mradi wao wa kutoa fedha kwa madalali eti kuonesha Chadema inakufa
Hiki Chama badala ya kufa ndo kinazidi kupendwa kwa kiwango cha kutisha na Watanzania.
jioneeni ya leo Kahama wenyewe!
View attachment 3337332View attachment 3337333View attachment 3337334View attachment 3337335View attachment 3337336View attachment 3337337View attachment 3337338View attachment 3337339
Point ya muhimu hii, watu wa kamusi wajiandae kuongeza huu msamiati na tafsiri yakeHuko mbeleni Mwashambwa litakuwa ni msamiati katika lugha ya Kiswahili kuelezea kiwango cha juu cha unagiki, uchawa na upungufu wa akili.
Mtu atakapoambiwa, wewe ni Mwashambwa, atajiona ubinadamu wake una madhaka.
Nasema tunza fedhaAcheni kujitekenya na kujichekesha wenyewe kama wajinga na walevi wa gongo
Samia hana mategemeo tena na chawa kumrudisha kwenye uongozi; hatua hii imekwisha pita, haipo tena!Samia aache kuvimbishwa kichwa na chawa,
Sikuwahi kujuwa kwamba nawe mkuu 'CHIEF PRIEST', nawe mara moja moja unajifunza kazi ya uchekeshaji wasomaji wako! Huu muujiza wa Samia kushinda uchaguzi wa kupigiwa kura HURU na za HAKI hadi kuwa mshindi wa urais wa nchi hii? Afanye kitu gani kwa wakati huu uliopo kabla ya uchaguzi; hata kama utasogezwa mbele! Huyo atakayeshindana naye atakuwa mtu wa namna gani huyo?hoja ya mabadiliko katika mifumo ya uchaguzi ili uwepo uchaguzi wa huru na wa haki siyo ya Chadema ni hoja ya kitaifa. Ukiwepo uchaguzi wa huru na haki hata akishinda Samia yeye mwenyewe atajisikia fahari kuwa amechaguliwa na Watanzania