CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Ndiyo maana nimesema 'hata' akishinda yeye,lakini ukweli ni kuwa uchaguzi ukiwa huru na haki hatoboi maana kama huku Kanda ya Ziwa ambako ndiyo kuna mtaji mkubwa wa kura hawataki hata kumsikia huyo dhalim.Samia hana mategemeo tena na chawa kumrudisha kwenye uongozi; hatua hii imekwisha pita, haipo tena!
Sasa hivi matumaini pekee aliyo baki nayo, ni juu ya "Genge la askari wake" ambao sasa wanatumia kila njia za vitisho, kuteka, kuumiza, na hata kuua, ili Samia abaki madarakani. Njia hii itazidi kuwa ngumu zaidi kadri tunavyosonga mbele, na waTanzania wanaonyesha kuchukizwa kwao.
Sikuwahi kujuwa kwamba nawe mkuu 'CHIEF PRIEST', nawe mara moja moja unajifunza kazi ya uchekeshaji wasomaji wako! Huu muujiza wa Samia kushinda uchaguzi wa kupigiwa kura HURU na za HAKI hadi kuwa mshindi wa urais wa nchi hii? Afanye kitu gani kwa wakati huu uliopo kabla ya uchaguzi; hata kama utasogezwa mbele! Huyo atakayeshindana naye atakuwa mtu wa namna gani huyo?
Mungu ibariki chademaKutokana na kupokelewa kwa kiwango cha kutisha ajenda ya No Reform No Elections napenda kuwashauri system na CCM wasitishe mradi wao wa kutoa fedha kwa madalali eti kuonesha Chadema inakufa
Hiki Chama badala ya kufa ndo kinazidi kupendwa kwa kiwango cha kutisha na Watanzania.
jioneeni ya leo Kahama wenyewe!
View attachment 3337332View attachment 3337333View attachment 3337334View attachment 3337335View attachment 3337336View attachment 3337337View attachment 3337338View attachment 3337339
Nilikuelewa vizuri tu mara ya kwanza, mkuu 'CHIEF'; hayo niliyo andika hapo ni ile inayoitwa "tongue in cheek", response.Ndiyo maana nimesema 'hata' akishinda yeye,lakini ukweli ni kuwa uchaguzi ukiwa huru na haki hatoboi maana kama huku Kanda ya Ziwa ambako ndiyo kuna mtaji mkubwa wa kura hawataki hata kumsikia huyo dhalim.
Sasa hivi kuna fukuto kubwa ni vile tu huko watu waoga sana kwani kumsema mshangazi inachukuliwa ni uhaini na dola inakufinya, lakini hakuko shwari kabisa lolote laweza tokea anakosekana wa kumvisha paka kengele tu.Nilikuelewa vizuri tu mara ya kwanza, mkuu 'CHIEF'; hayo niliyo andika hapo ni ile inayoitwa "tongue in cheek", response.
Safari hii kama huko CCM kutakosekana vichwa vilivyo tulivu kuepusha dhahma hii ya Samia kusababisha umwagaji wa damu kwa sababu tu ya yeye kubaki madarakani; tutaingia kwenye mtafaruku mkubwa.
Ni lazima zipatikane njia haraka za kulidhibiti Genge linalo mchochea na kusababisha maafa yaliyoanza kuonekana tayari.
Kachagua njia ngumu, ya kutumia mabavu kubaki madarakani kwa sababu hizo njia nyingine, kama hiyo unayo pendekeza wewe amekwishatambua kuwa hana nafasi ya kushinda na kuendelea kutawala.kwani maza hivi akiongeza mwaka mmoja au miwili ndio uchaguzi ufanyike, anakula hasara gani? wakati atakuwa ameongeza mingine saba 7 kwake badala ya 5 anayotarajia? aliye karibu naye amshauri.
Ngoja hao Njaa55 waje mtaani wapopolewe ndo ccm watajua kwa sasa hakuna wananchi wajingaKutokana na kupokelewa kwa kiwango cha kutisha ajenda ya No Reform No Elections napenda kuwashauri system na CCM wasitishe mradi wao wa kutoa fedha kwa madalali eti kuonesha Chadema inakufa
Hii kesi ishakuwa ngumu kwa System. Saivi wameamua kutumia Mahakama baada ya ngebe za Msajili kukwamaNgoja hao Njaa55 waje mtaani wapopolewe ndo ccm watajua kwa sasa hakuna wananchi wajinga
Hila zote za CCM na system zao ndo zinazidi kuipandisha chati zaidi Chadema.Kachagua njia ngumu, ya kutumia mabavu kubaki madarakani kwa sababu hizo njia nyingine, kama hiyo unayo pendekeza wewe amekwishatambua kuwa hana nafasi ya kushinda na kuendelea kutawala.
Sasa yuko radhi kabisa, watu wapoteze maisha yao; kama njia hiyo itamfanya aendelee kutawala.
October mapema sana tunatiki lilipo jina la Samia.Kutokana na kupokelewa kwa kiwango cha kutisha ajenda ya No Reform No Elections napenda kuwashauri system na CCM wasitishe mradi wao wa kutoa fedha kwa madalali eti kuonesha Chadema inakufa
Hiki Chama badala ya kufa ndo kinazidi kupendwa kwa kiwango cha kutisha na Watanzania.
jioneeni ya leo Kahama wenyewe!
View attachment 3337332View attachment 3337333View attachment 3337334View attachment 3337335View attachment 3337336View attachment 3337337View attachment 3337338View attachment 3337339
Amka mkuu usije ukachafua hicho kitanda.Wewe unayetumika kama toilet paper ndiye mpumbavu. Huyo mama yako wa bosheni mwenyewe anatamani kurusha taulo wewe umekalia upuuzi tu humu. Kesi imeshakuwa ngumu hii.