KESI MAUAJI YA LIBERATUS BARLOW: Maelezo yanayodaiwa ya Muganyizi yatoa ramani ya mauaji

KESI MAUAJI YA LIBERATUS BARLOW: Maelezo yanayodaiwa ya Muganyizi yatoa ramani ya mauaji

Hadi mharifu aseme yote atakuwa kaipata
 
maharamia na vibaka na wauaji wengi mwanza huwa ni wakurya na wahaya pamoja na wanyamwez
 
Hii kesi ngumu kuelewa,ilikuaje tena Chacha aje na askari gesti?
itakuwa alikamatwa kwa njia ya simu mkuu hebu soma jinsi wauaji wa msuya walivyokamatwa ili ujue polis wanavyofanya kaz kisayansi
 
Mkuu huwezi kuelewa hadi muhanga awe wewe au nduguyo.

Ndugu wa karibu ni muhanga wa ujambazi wa kijinga kama huu bado kidogo afe.

Anaishi na mateso na risasi mwilini miaka mingi sasa.

Kila kitu siku hizi kibachukuliwa kisiasa au kishabiki.
Na ule mgogoro wa marehemu kugombea ile papuchi na yule ofisa wa uhamiaji iliishia wapi?Maana ile papuchi ilikuwa ni mjane wa ex-Ofisa mapato na walikuwa wakizuga kuwa ni ndugu na marehemu Kamanda.
 
Hujui chochote wewe ni kati ya mabwege yanayoishi duniani kwa bahati mbaya!!
kuna watu wanajitungia tu story na kukoment mkuu kwahiyo wasamehe mwingine hapo juu kadai kuwa kamanda aliuwawa gest sijui mara akiwa nyumban wakati kamanda aliuwawa akiwa kwenye gar yeye na dem wake cheupe pee
 
Hii ni chai kabisa,hayo maelezo ni mepesi mno. Huo ujambazi wa kutumia silaha kuiba simu za 25,000 hauingii akilini.
ohooo ndugu yangu hii siyo chai hapa mwanza wakurya wengi ni vibaka wa kutupa na bunduki zao hutoka kenya kwa bei chee jamaa hawapend kaz wao ni majungu na wiz ndo wanachoweza si unakumbuka kule kwwnye jukwaa la sport wanavyopigana majungu
 
Familia yake haiamini hivyo na haiamnini watuhumiwa ndiyo waliopanga mauaji wanaamini vinginevyo, kuna mtoto wa marehemu kasoma sheria kamaliza chuo flani niliwahi sikia anasema wahusika ni watu wa system wanajulikana.
Ngoja niishie hapa....................
Member fulani alidai kuwa jamaa ndiye alitakiwa kuwa the next IGP wakati ule
 
Hayo maelezo kama ni ya kweli jiwe asaini kunyongwa tu hadi kufa,wanatafuta ushaidi wa nini tena wakati kila kitu kinajieleza.
Tatizo mkuu kuna member kakwambia hapo familia haiamini hao ndio wauaji
 
Ila hii kesi tunadanganywa, mi nakumbuka nilisoma humu baada ya barlow kuuliza hamjui mimi ni nani ? Alichukua radio call na kusema ngoja niwaitie polisi ndio wakamuua na kuondoka bila kitu
Na waliisema ni watuhumiwa
 
hebu twende pole pole mkuu umeelewaje na kwanini unahis hilo swali ulilouliza ni gumu
Ngoja nikurudishe Mwanza.Mtuhumiwa anasema baada ya kupora wakiwa wanarudi waliona gari imewasha taa,wakaikimbilia wakijua ni pesa tu.Hapa kuna maswali pia,katika hali ya kawaida mtoke kupora halafu msiwe na hofu ya kutafutwa na msiogope gari hata kujihami tu,ndo kwanza wao wakalikimbilia gari.

Mtuhumiwa anasema,kwenye gari walimkuta me na ke wakajitambulisha wao ni askari,marehem akawaambiwa yeye ndiye boss wao, Chacha akaamuru apigwe risasi.Hapa kuna maswali mengi.kwanza mtuhumiwa hajasema huko walipopora waliua watu kirahisi tu kama walivyomuua Barlow? Msingi wake ni kwamba majambazi huwa wanaepuka sana kuua mtu kirahisi tu kwasababu wanajua watatafutwa tu...iweje sasa waue kirahisi tu kama wanavyotaka tuamini?.

Utata ni mkubwa sana
 
Back
Top Bottom