Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
mkuu kwa jinsi ulivyosoma hapo juu unaamin huyu jamaa ni jambaz au kibaka tu?jambaz gan anakwapua cm ya mama anayeshuka kwenye daladala? hawa jamaa itakuwa kweli waliua na itakuwa ndo walikuwa wanajifunza kuuaNgoja nikurudishe Mwanza.Mtuhumiwa anasema baada ya kupora wakiwa wanarudi waliona gari imewasha taa,wakaikimbilia wakijua ni pesa tu.Hapa kuna maswali pia,katika hali ya kawaida mtoke kupora halafu msiwe na hofu ya kutafutwa na msiogope gari hata kujihami tu,ndo kwanza wao wakalikimbilia gari.
Mtuhumiwa anasema,kwenye gari walimkuta me na ke wakajitambulisha wao ni askari,marehem akawaambiwa yeye ndiye boss wao, Chacha akaamuru apigwe risasi.Hapa kuna maswali mengi.kwanza mtuhumiwa hajasema huko walipopora waliua watu kirahisi tu kama walivyomuua Barlow? Msingi wake ni kwamba majambazi huwa wanaepuka sana kuua mtu kirahisi tu kwasababu wanajua watatafutwa tu...iweje sasa waue kirahisi tu kama wanavyotaka tuamini?.
Utata ni mkubwa sana
kwahiyo unahis polis wamewaokota jalalan na kuwapa kesi