KESI MAUAJI YA LIBERATUS BARLOW: Maelezo yanayodaiwa ya Muganyizi yatoa ramani ya mauaji

[emoji38][emoji38][emoji28][emoji28]
 
Na ule mgogoro wa marehemu kugombea ile papuchi na yule ofisa wa uhamiaji iliishia wapi?Maana ile papuchi ilikuwa ni mjane wa ex-Ofisa mapato na walikuwa wakizuga kuwa ni ndugu na marehemu Kamanda.
Ofisa mapato alifariki kitambo mama akawa na pepe kale felician,barlow alivyohamia mwanza nae akarukia mzito ule sasa sijui kamada alikua anamudu pale mana sukari ilikua imemtafuna kiafya sana,tulimzika kijijini ni jirani yangu kijijini
 
Kumbe hata wewe umepaona hapa eeh
 
Una maanisha marehemu aliwahi kutaka kumuua afisa uhamiaji ?
 
Ofisa mapato alifariki kitambo mama akawa na pepe kale felician,barlow alivyohamia mwanza nae akarukia mzito ule sasa sijui kamada alikua anamudu pale mana sukari ilikua imemtafuna kiafya sana,tulimzika kijijini ni jirani yangu kijijini
Ukute issue ni huyo mwanamke
 
Ila kamanda naye alikiuka taratibu za kazi kwa kutokua na mlinzi wala dereva
 
Kila jambazi au kundi la ujambazi wana modus operandi ya utendaji wa makosa mkuu wengine wakiingia nyumbani kupora lazima wajisaidie haja kubwa wengine kubaka na wengine lazima waue. Mkuu usikariri ungekuwa unafanyakazi mahakamani au mwanasheria uliyebobea kesi za jinai au mpelelezi usingeshangaa hiyo modus operandi waliyotumia hao majambazi. Pia kumbuka wahenga walisema za mwizi arobani nafikiri utakuwa umepata hata kiduchu!
 
#HABARI Mahakama Kuu kanda ya Mwanza imewahukumu kunyongwa hadi kufa, washtakiwa wanne baada ya kupatikana na hatia ya mauaji ya aliyekuwa RPC wa Mwanza Liberatus Barlow Oktoba mwaka 2012. East Africa TV on Twitter
 
Hao jamaa niliwakuta butimba wanateseka nilikuwa nalala sero moja na huyo Magige, mbaya zaidi huyo mzee Magige alikuwa akijifanya innocent kwangu japo Kuna usalama mmoja nilikuwa nalala nae kwenye godoro moja alinibonyeza akaniambia kuwa makini na huyo mzee ana kesi nzito ya mauaji.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…