Kesi mbalimbali za kampuni ya DP World inayotaka kuendesha bandari ya Dar es Salaam

Huku kwetu wafanya maamuzi wamefumba macho na kuziba masikio licha ya kuonyeshwa mapungufu ya huo mkataba na mifano ya nchi zilizoingia mkenge na kampuni tunayoingia nayo mkataba dalili za rushwa kubwa kupenyezwa
 


Viongozi wao ndo wamewaingiza na sio chochote, Africa kuna laana, watu wabinafsi, washenzy na wezi.
 
Kama vichaa vile.
Waulize swali moja tu, Je sehemu zote alizowekeza DP World zina migogoro? wakikujibu nishtue
Huwa hawajibu maswali ya msingi hawa, kuna kaujinga fulani wamemezeshwa na walio na familia zao huko Marekani basi hawaelewi kitu.
 
Jamaa wanadai mpaka future profit, wa kwetu sasa inasemekana ni wa maisha, hope viongozi wetu watapata busara kwa kuangalia kinachoendelea sasa na hii kampuni, US waliambiwa wafunge virago in 24 hrs
 
Uzushi tu na wivu. DP World tunamuhitaji
 
Malalamiko ya Djibouti
-Dp walichoahidi hawakutekeleza
-Walizuia uendelezwaji wa bandari nyinginezo
-Walipandisha gharama za import na export hivyo kusababisha inflation kwenye inchi
-Rushwa
-Djibouti hawakua na sauti
Sijui nani katuroga na SS ndo tunaelekea huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…