Kesi mbalimbali za kampuni ya DP World inayotaka kuendesha bandari ya Dar es Salaam

Kesi mbalimbali za kampuni ya DP World inayotaka kuendesha bandari ya Dar es Salaam

Mama kasaini bila kuuelewa ukiishia kuusoma bila kuuelewa una Siri na mitego mingi sana
 
Soon itakuwa Tanzania Vs DP world
Hawa DP World huwa wanapanga hivyo tangu mwanzo. Wanajua kabisa kuwa kwa mkataba jinsi ulivyo lazima itafika pahala mtaamua kuuvunja mkababa kwa kuona liwalo na liwe!! Na hapo ndipo wenyewe walikuwa wanapataka. Fasta wanawapeleka mahakamani ambako tayari wana watu wao. Huko mtajikuta mnaamriwa kulipa fidia ya mabilioni ya ajabu ya fedha!

Kinachosikitisha viongozi wetu wanayajua yote haya halafu wameamua kukaa kimya!! Mungu nanawaona!! Watanzania mara mia tuuvunje mkataba sasa ambapo fidia haitakuwa kubwa maana bado hawajawekeza!! Waliokula pesa za watu Mungu anawaona!!
 
Anathubutu kusema eti hakuna mwenye ubavu wa kuuza nchi!! Hivi ukampa mtu bandari zote aendeshe na kusimamia bila ukomo wa muda halafu unategemea watu waamini kuwa hujauza nchi!!!
 
Back
Top Bottom