Mzee wa old school
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 873
- 1,405
Swala sio kupigiwa kura.. swala ni kwamba.. MJOMBA NI MAMA! Na kuna kamsemo wanasema KWa kuuliza, nani kama mama?....Rais hana uchungu na nchi yake kwa sababu HAKUPIGIWA KURA, AMERITHI TU UONGOZI
TNG (sijui ndio kifupi cha Tanganyika) haijitambui. Itanyolewa bila maji.Wakati Djibouti ikinyolewa bila huruma Tanganyika itie maji
Inasikitisha sana , ndiyo maana wanaishia kufirwa tu hamna cha bure bure hapa duniani.Waislamu wanavyopenda vya bure hawawezi kuona dosari
Hawa DP World huwa wanapanga hivyo tangu mwanzo. Wanajua kabisa kuwa kwa mkataba jinsi ulivyo lazima itafika pahala mtaamua kuuvunja mkababa kwa kuona liwalo na liwe!! Na hapo ndipo wenyewe walikuwa wanapataka. Fasta wanawapeleka mahakamani ambako tayari wana watu wao. Huko mtajikuta mnaamriwa kulipa fidia ya mabilioni ya ajabu ya fedha!Soon itakuwa Tanzania Vs DP world
Natamani kusikia ameng'atuka.Ana dharau sana
Inasikitisha saanaAnathubutu kusema eti hakuna mwenye ubavu wa kuuza nchi!! Hivi ukampa mtu bandari zote aendeshe na kusimamia bila ukomo wa muda halafu unategemea watu waamini kuwa hujauza nchi!!!