Kesi namba 456 ya 2016 JamiiForums vs Jamhuri, Kisutu: Maxence Melo ahukumiwa Mwaka jela au faini ya Tsh. Mil 3. Mwenzake aachiwa huru

Nakubaliana na wewe mkuu!

 
Wanaoiponzaga JF ni vilaza wachache hasa hizi takataka ambazo zinashabikia vyama ambao wako tayari kuleta uzushi na hata kutukana kwa ajili ya kutetea matumbo ya viongozi wao wa vyama.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu tunataka JF iwe kwa ajili ya Great Thinkers kweli siyo uongo uongo tuu. Kama ni whistle blow iwe whistle blow ya kweli siyo udaku udaku!!
 
Hii Anonymity ndio inaodumisha Hii slogan
Where We dare to talk Openly
So Being Anonymous is the Key here
Not really ! It shows how people are coward, selfish, unconfident and insecure of themselves!
right minded people don’t care how people define them and treat them!
our county is full of hypocrites, untrusted, coward , selfish individuals no matter their status and position. The country is full of weird people!
 
Mungu akubariki sana .
 
Ni aibu Kwa serikali ya magufuli kutafuta pesa za FACE MASK Kwa style hiyo
 
Hizi issue za kusema where we dare to talk openly halafu kuna wakati tunaandika habari za uwongo au uzushi kwa nia za kisiasa au kuchafua watu si sahihi. Inafaa anayeandika habari awe na uhakika. Sio kuchafua tu watu au taasisi. Tunaharibu wenyewe.
Vipi kuhusu kufichua maovu? Unadhani wote wanafurahia maovu yao kuwekwa hadharani? Unadhani wakijua nani kafichua watamuacha salama?
 
Aibu kwa serikali ya wanyonge. Badala ya kuboresha matundu ya vyoo kwenye shule za msingi Naliendele wao wanakomaa na kina Melo. Bure kabisa hii jamhuri
 
Stop being negative. Watu wameitumia vizuri JF pia. Hatuwezi kuacha kutengeneza visu kwa kuwa kuna watu wanatumia visu kudhuru wengine.

to be clear , The JF before 2016, I could defend it! But this one , involving people like you! Who can not give the discourse , I am sorry 😐!
 
Hata mimi sio mwanasheria pia. Hii ilikuwa ni kesi namba 456 ya 2006, Jamhuri dhidi ya mkurugenzi wa Jf. Kama itatokea a post nyingine kabisa ambayo haiusiani na uzi uliosababisha kesi hii ikiwa polisi wanamhitaji mtoa mada(uzi) watafungua kesi nyingine tofauti na hii. Kama wakitaa kutoa ip address watag'g'ania kifungu kile kile cha 22(1) cha Cyber crimes Act,ambacho ni Obstruction to investigation.
Rufaa ni haki yao wanaweza kukatia na hapo itakuwa High Court. Na naendelelea kukumbusha precedence ni hukumu za High cout na Court of Appeal hizi ndio superior
Icourt of records hapa Tz.
Kuhusu Id ni gunuine kabisa.
 
Nafikiri kama wenyewe hawa walioimshitaki walivyompa shitaka la kuwekea ngumu upelelezi usifanyike kama kifungu cha 22(1)Cyber crimes Act,2015. Members wawe wanatoa taarifa za ukweli hasa wanapokuwa wanafichua madudu yanayohusu maslahi ya umma.
Kwenye hoja zile za oilcom serikali iliumbuka na ikaamua kuikomoa jf ili kuepuka aibu , badala ya kuchunguza ikaamua kufanya jambo duni la kuifungulia kesi Jf .

Ni ufisadi gani ambao serikali hii inaupinga ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…