Waweke ili na mimi nirushe japo buku tano turudishe walipozitoa. Ashukuriwe MunguNi faini kama walivyofanyiwa viongozi wa Chadema.
Wekeni namba ya simu tuanze kurusha miamala.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waweke ili na mimi nirushe japo buku tano turudishe walipozitoa. Ashukuriwe MunguNi faini kama walivyofanyiwa viongozi wa Chadema.
Wekeni namba ya simu tuanze kurusha miamala.
Sio kila mfungwa anakuwa raisNingekuwa Melo ningeenda jela mwaka mmoja nikitoka niwe Rais kama Mandela na Nyerere.
Pole sana Melo kwa hilo.
....ina maana "Kagemro" ni verified ID yako?I always hate anonymous identity! Watu wameitumia vibaya JF ! I think 🤔
Kwanza kabisa nikuwele sawa mkuu hii hukumu sio precedence sababu RMC sio Highier court of records.
Pili kwa usalama wa Jf kama mtu anataka kuibua skendo au tukio flani basi awe na uhakika na anchokiandika.
Sababu hii sheria Cyber crimes Act,2005.Ni moto wa kuotea mbali na watu wawe makini sana. Hasa watu kama wewe wenye Id fakes alafu mnataka kutumia jukwaa vibaya.
Huyu Hakimu sio wa mchezomchezo aliwahi kumfunga mwanafunzi wa s/m miaka 30 jela kwa kuvamia kituo cha polisiSerikali isiyopenda rushwa na ufisadi inapopiga vita platform iliyotoa taarifa za ifisadi/ rushwa.
Hapa ndio utaona danadana za awamu hii.
Sent using Jamii Forums mobile app
That is my name from childhood!....ina maana "Kagemro" ni verified ID yako?
Kweli mkuu tunataka JF iwe kwa ajili ya Great Thinkers kweli siyo uongo uongo tuu. Kama ni whistle blow iwe whistle blow ya kweli siyo udaku udaku!!Wanaoiponzaga JF ni vilaza wachache hasa hizi takataka ambazo zinashabikia vyama ambao wako tayari kuleta uzushi na hata kutukana kwa ajili ya kutetea matumbo ya viongozi wao wa vyama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Not really ! It shows how people are coward, selfish, unconfident and insecure of themselves!Hii Anonymity ndio inaodumisha Hii slogan
Where We dare to talk Openly
So Being Anonymous is the Key here
Mungu akubariki sana .Wana Jamii Forum,
Wengi mtakuwa mmeshasikia au kusoma juu ya hukumu katika kesi ya Jamii Forum, ambapo Maxence Mello amehukumiwa kulipa faini ya Tshs 3m au kifungo cha mwaka mmoja. Faini imelipwa.
Wengi wameshindwa kuelewa athari za hii hukumu, na wanaiona katika mapana ya hukumu au faini ya Stsh 3 tu, ambayo hata wengine wameita pesa ya mfukoni.
Lakini suala la kujiuliza ni kama tunaelewa athari za hukumu hii kwa JF hapo mbeleni. Kimsingi, hukumu hii inaweza kuweka precedent kwamba kila wakati serikali isipofurahishwa na thread au post ya mwana JF, inawataka JF kutoa taarifa za mtu aliyeanzisha hiyo thread au kuweka hiyo post.
Sasa najua JF ilianzishwa kwa namna ambayo ilitaka kuzuia suala la JF kulazimishwa kutoa taarifa binafsi za wana JF. Lakini hukumu haitambui hili, kitu ambacho kinamweka Maxence na Jamii Forums katika hali mbaya sana.
Sasa hii ni vita ya Watanzania waote katika kupigania uhuru wa kutoa maoni, hatupaswi kuwaachia JF na Mexence peke yao. Kama kuna uwezekano wa kuikatia rufaa hii hukumu tufanye hivyo, na ikiwezekana utaratibu uwekwe wale wote wenye mwamko wa uhuru wa kutoa maoni tuchangie gharama za kuhakikisha uhuru wa Watanzania kutoa maoni kupitia JF haukomeshwi na watawala wachache wanaopenda kukandamiza uhuru wa kutoa maoni.
JF imekuwa mwiba mchungu sana kwa nia dhalimu za wale wote wenye mwelekeo wa kufinya haki za binadamu, unyanyasaji wa watu, utawala wa mabavu na kutofuata sheria, ufisadi, dhuruma na ukandamizaji wa uhuru wa kujieleza. Hatuwezi kukaa kimya dhidi ya vita hii, ni vita yetu, sio vita ya Macence Mello na JF, ni vita ya Watanzania wote wenye kupenda maendeleo na utandawazi. Hii ndio nafasi nzuri ya kuonyesha loyalty yetu kwa JF. IKiwezekana, tungependa kupata mwongozo toka JF wa nini wana JF tunaweza kufanya kusaidia katika hili.
Hahahahaha...!! Nawe ni GT wa JF!!Mungu akubariki sana .
Vipi kuhusu kufichua maovu? Unadhani wote wanafurahia maovu yao kuwekwa hadharani? Unadhani wakijua nani kafichua watamuacha salama?Hizi issue za kusema where we dare to talk openly halafu kuna wakati tunaandika habari za uwongo au uzushi kwa nia za kisiasa au kuchafua watu si sahihi. Inafaa anayeandika habari awe na uhakika. Sio kuchafua tu watu au taasisi. Tunaharibu wenyewe.
Kwa mfano yule FUHRER aliyeleta uzi wa oil com alijihusisha na siasa zipi ?Wanaoiponzaga JF ni vilaza wachache hasa hizi takataka ambazo zinashabikia vyama ambao wako tayari kuleta uzushi na hata kutukana kwa ajili ya kutetea matumbo ya viongozi wao wa vyama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Stop being negative. Watu wameitumia vizuri JF pia. Hatuwezi kuacha kutengeneza visu kwa kuwa kuna watu wanatumia visu kudhuru wengine.
Hata mimi sio mwanasheria pia. Hii ilikuwa ni kesi namba 456 ya 2006, Jamhuri dhidi ya mkurugenzi wa Jf. Kama itatokea a post nyingine kabisa ambayo haiusiani na uzi uliosababisha kesi hii ikiwa polisi wanamhitaji mtoa mada(uzi) watafungua kesi nyingine tofauti na hii. Kama wakitaa kutoa ip address watag'g'ania kifungu kile kile cha 22(1) cha Cyber crimes Act,ambacho ni Obstruction to investigation.Okay Mkuu, nashukuru kwa ufafanuzi. Mimi sio mwanasheria. Kwa hiyo ina maana JF bado inaweza kukataa kutoa taarifa za mtoa thread au post na serikali ikawafikisha tena mahakamani independently ya hii hukumu, na hiyo ikawa ni kesi mpya tena inayojitegemea?
Na pia, ni kweli kwamba ili kuwa na precedence JF wanaweza kuikatia rufaa hii hukumu ili uamuzi ukatolewe na mahakama ya juu kuweka precedence?
Na chagu wa malunde ni ID yako genuine tofauti na mie mwenye ID fake?
Kwenye hoja zile za oilcom serikali iliumbuka na ikaamua kuikomoa jf ili kuepuka aibu , badala ya kuchunguza ikaamua kufanya jambo duni la kuifungulia kesi Jf .Nafikiri kama wenyewe hawa walioimshitaki walivyompa shitaka la kuwekea ngumu upelelezi usifanyike kama kifungu cha 22(1)Cyber crimes Act,2015. Members wawe wanatoa taarifa za ukweli hasa wanapokuwa wanafichua madudu yanayohusu maslahi ya umma.