Ndiyo.Kwa kuwa imeandikwa kwenye Katiba basi tayari mahakama inafanya kazi kwa uhuru?
Tatizo sio kulipa tatizo asije kuwa kawapa serikali ufunguo wa kuingia jfHizo tutazilipa tu fasta hata humu
Ndio hapo wasije kuwa wameingia makubalianoHehe hela wanayoingiza kila siku kwa matangazo tu. Tatizo ni je baada ya hili serikali itakua inaomba data za kila mtu wanayemtaka humu JF?