Acha uswahili kwa hiyo unataka aende segerea? Mil tatu ichangishwe kabla hawampeleka segerea. Kama wewe unataka kukata rufaa tafuta muda wako.
Jambo la msingi awe mtaani mengineyo baadae. Wewe mwenyewe hujapata hata nakara yake. Unataka kuchanganya mambo.Kwani wewe umekubariana na hukumu.
Una hoja ya maana sanaNaomba tujadili nini itakuwa implication ya hukumu iliyotolewa leo dhidi ya Mkurugenzi wa JamiiForums bwana Melo kwa mtandao huu wa JamiiForums na watumaji wake kwa siku za usoni na iwapo ni muhimu kukata rufaa.
Wanasheria tusaidiane.