Idimulwa
JF-Expert Member
- May 27, 2011
- 4,944
- 2,459
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda sio Tanzania!Haki isipotendeka tuchukue hatua
Tanzania hii hiiLabda sio Tz!
Halafu wako watu wanaiona Serikali ya awamu ya 5 ni mpambanaji wa rushwa....Kumbe ni mijizi na wala rushwa kuliko pengine awamu zote tangulizi...Serikali isiyopenda rushwa na ufisadi inapopiga vita platform iliyotoa taarifa za ifisadi/rushwa.
Hapa ndio utaona danadana za awamu hii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uchochezi, subiri hukumu itoke mahakama ni chombo huru. Kinafanya kazi kwa mujibu wa katiba, kama ibara ya 107B ya katiba ya JMT inavyoainisha.tz hii hii
Kwa kuwa imeandikwa kwenye Katiba basi tayari mahakama inafanya kazi kwa uhuru?Acha uchochezi,subiri hukumu itoke mahakama ni chombo huru. Kinafanya kazi kwa mujibu wa katiba, kama ibara ya 107B ya katiba ya JMT inavyoainisha.