Kesi namba 456 ya 2016 JamiiForums vs Jamhuri, Kisutu: Maxence Melo ahukumiwa Mwaka jela au faini ya Tsh. Mil 3. Mwenzake aachiwa huru

Kesi namba 456 ya 2016 JamiiForums vs Jamhuri, Kisutu: Maxence Melo ahukumiwa Mwaka jela au faini ya Tsh. Mil 3. Mwenzake aachiwa huru

Serikali isiyopenda rushwa na ufisadi inapopiga vita platform iliyotoa taarifa za ifisadi/rushwa.

Hapa ndio utaona danadana za awamu hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu wako watu wanaiona Serikali ya awamu ya 5 ni mpambanaji wa rushwa....Kumbe ni mijizi na wala rushwa kuliko pengine awamu zote tangulizi...

Serikali smart na makini ilipaswa kuipongeza JF, na sio kushtakiwa. Awamu ya 5 ni kama familia ya Panya, wote ni wezi....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu yampiga faini ya million tatu Mkurugenzi wa Jamii Forum
Screenshot_20200408-122001.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hehe hela wanayoingiza kila siku kwa matangazo tu. Tatizo ni je baada ya hili serikali itakua inaomba data za kila mtu wanayemtaka humu JF?
 
Back
Top Bottom