Kesi namba 457: Mahakama yasema Maxence Melo na Micke William hawana Kesi ya kujibu! Yawaachia huru

Kesi namba 457: Mahakama yasema Maxence Melo na Micke William hawana Kesi ya kujibu! Yawaachia huru

Hofu yangu ilikuwa kutumia jina halisi wakati nilishawaumbua watu kibao wakiwemo mahakimu Wala rushwa ktk nyuzi za kesi ya mama yangu....du si ningetafutwa!! Hongera max!!
 
Sasa ilikuwaje akawekwa ndani wiki nzima?,hii nchi hii.
 
Mungu mkubwa.... Hongera kwa Max Melo na wenzake, hongera kwa Advocates Kibatala, Ishabakaki na wenzao

Haki haijawahi kushindwa mahali popote!
 
Yashindwe na yalegee Maluciferi yote yanayotamani kusigina katiba na kuondoa haki yetu wananchi ya uhuru wa kujieleza, Mungu ayalaani madikiteta yote duniani na kwingineko kokote yalipo na ayaharakishie adhabu ya mauti. Viva JF, bravo great thinkers
 
Back
Top Bottom