Kesi ndogo ya Freeman Mbowe: Shahidi akamilisha ushahidi wake, Shahidi mwingine kuendelea tarehe 12/11/2021

Kesi ndogo ya Freeman Mbowe: Shahidi akamilisha ushahidi wake, Shahidi mwingine kuendelea tarehe 12/11/2021

Ws: mh jaji tunaomba health break

Jaji: health break ya nini wakati hata kesi haijaanza.

Ws: naomba usikilize ombi letu mh jaji.

Jaji: eeehhh.... mhhhhh nawapa dk 90 ..
wanakwenda kupanga madesa hao !!! 🤣🤣🤣🤣 inaonekana hawa mawakili wa serikali wanadekeshwa sana.
 
Nimekuwa nafuatilia hii kesi ya Mbowe kwa ukaribu sana.

Na nimeshuhudia mapingamizi mengi ya kikosa nguvu ya kisheria hivyo kutupiliwa mbali mahakama.

Hii ni ishara inayoonyesha timu ya Jamhuri inayongozwa na prominent lawyer Robert kidando ni moto wa kuotea mbali.

Ninachokiona ni kwamba haya mapingamizi mengi yanayokatwa na upande Kibatala ni kujaribu kutengezea picture ya kuwaminisha wananchi yakwamba uwanja wanaochezea haupo fair; jambo ambalo ni utoto kabisa.

Pia wameonyesha kupanic panic pasipo sababu mfano mzee wa “what is tourism ” anatumia maneno makali mahakamani. Acha panic kijana, jenga hoja za kisheria vizuri
Hoja ya kwamba jamhuri inabebwa, wapinzani wamefanya kichaka cha kujifichia
punguani kama mjombawako mwendazake
 
Sitegemei mapya sana. Hii kesi mahakama na polisi ndio wameiandaa.. Hakuna haki mahakamani. Nadhani team ya utetezi watafute njia nyingine. Wasikubali kuendelea kuona sheria zina najisiwa.
 
Kuna pini imepigwa kwenye hili jukwaa. Mbona tangu jana wanachelewa sana kutupa kile kinachojiri mahakamani
Pini ya wapi wahabarishaji wako biased, huoni hata wakiwa wanahabarisha taarifa za upande wa mashitaka huwa zinakatishwa na kuandikwa "hovyo"...ukiona kimya jua wahabarishaji hawajapata wanachopenda kukisikia.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
pingamizi halina mashiko, tupilia mbali huko.
mawakili wa Mbowe wanapoteza muda bure na usumbufu kibao usio wa maana.
waache kesi ya msingi ingurumee, mbona wana sua sua sana! kwani wanaogopa nini? siwalisema hakuna ushahidi? mbona sasa wanapapatua sana?! inamaana kuna ushahidi mzito.
Kufikiria kwa kutumia ‘masaburi’ ni pale unapo ongozwa na mahaba, badala ya hoja, kwenye mambo ya msingi kama haya!
 
chief Haingaya hana ubavu wa kumfunga Mbowe!! kama anadadangaywa hivyo na wana CCM waroho wa madaraka yatamkuta !! Hii kesi ni mtego wa panya.
UNAJIDANGANYA MUDA NDIYO UTASEMA
 
Pini ya wapi wahabarishaji wako biased, huoni hata wakiwa wanahabarisha taarifa za upande wa mashitaka huwa zinakatishwa na kuandikwa "hovyo"...ukiona kimya jua wahabarishaji hawajapata wanachopenda kukisikia.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Sasa nyie biased upande wa pili wa hii kesi, si muanzisheshe uzi wenu, m-bias kivyenu?!
 
pingamizi halina mashiko, tupilia mbali huko.
mawakili wa Mbowe wanapoteza muda bure na usumbufu kibao usio wa maana.
waache kesi ya msingi ingurumee, mbona wana sua sua sana! kwani wanaogopa nini? siwalisema hakuna ushahidi? mbona sasa wanapapatua sana?! inamaana kuna ushahidi mzito.
Kichwa maji
 
Nimekuwa nafuatilia hii kesi ya Mbowe kwa ukaribu sana.

Na nimeshuhudia mapingamizi mengi ya kikosa nguvu ya kisheria hivyo kutupiliwa mbali mahakama.

Hii ni ishara inayoonyesha timu ya Jamhuri inayongozwa na prominent lawyer Robert kidando ni moto wa kuotea mbali.

Ninachokiona ni kwamba haya mapingamizi mengi yanayokatwa na upande Kibatala ni kujaribu kutengezea picture ya kuwaminisha wananchi yakwamba uwanja wanaochezea haupo fair; jambo ambalo ni utoto kabisa.

Pia wameonyesha kupanic panic pasipo sababu mfano mzee wa “what is tourism ” anatumia maneno makali mahakamani. Acha panic kijana, jenga hoja za kisheria vizuri
Hoja ya kwamba jamhuri inabebwa, wapinzani wamefanya kichaka cha kujifichia
Hii kesi jamhuri ilitakiwa ianze na ushahidi wa vitendea kazi ya ugaidi, lakini tunaona ni mizunguruko ya safari za wagawa magazeti! Yule msaaidizi (Manyara) wa Sabaya alisema wazi kuwa hakuwahi kushuhudi vitendo vyovyote vya kigaidi na huyu ndiye aliyeishi nyumbani kwa Sabaya.
Mpaka sasa jamuhuri wamejikita kwenye kilabu ya mbege na nyama choma kama ndiyo ushahidi wao mkuu wa ugaidi!
 
Umesema umekuwa unafatilia hii kesi kwa muda mrefu, embu tuambia ni viashiria gani mpaka sasa umeviona vinaashiria ugaidi wa mheshimiwa mbowe na wenzake?
Mkuu, unahangaika na huyu mwana-apolo aliyefilisika mfukoni, na kichwani ameathirika na moshi wa baruti na wa bangi?! Haya mazezeta haya angalii sheria, yapo kishabiki tu! Hata hajui kwamba sheria ikipindishwa inaweza kuwa reference ya kumwathiri yeye siku za usoni! Lakini ni kawaida ya kenge, mpaka damu ziwatoke masikioni!
 
Back
Top Bottom