Kesi nyingine ya Lengai Ole Sabaya kuanza hivi karibuni

Kesi nyingine ya Lengai Ole Sabaya kuanza hivi karibuni

Hawa wafungue kesi miaka mchezo wa siasa uko pale pale
 
Kama ningekuwa Sabaya yale mabilion yote niliyoiba naenda kuzichimbia zizini Longido ndani ndani huko karibu na kina Stroke. Halafu baada ya hii hukumu namuita maza na mshua kuwaomba wa nisamehe na kuwanong'onezea pesa zilipo. Baada ya hapo natembea kisongo gerezani uchi siku tatu mfululizo kulaani mamlaka za juu kwa kunisababishia hizi zahama halafu najiua.

Hakuna haja ya kuendelea kuishi tena bila Mbususu, wali na wine.

Coach Slamah Hamad Chaliifrancisco Stroke
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] tatizo ameshachelewa
 
Hivi huyo dogo hadi anafanya hayo ,wakubwa wake :-Mkuu wa mkoa,Waziri Mkuu,Rais Magu,Spika Ndugai,Mkuu wa Polisi, hawakuyaona haya?
Kama haitoshi huyo kidude mtu usalama wa taifa hawakuliona?
Huyo dogo akiwa Mwenyekiti wa mkoa wa vijana wa Arusha CCM alikamatwa na kushtakiwa kwa kufogi kitambulisho cha usalama wa taifa akitishia watu wampe rushwa.Cha ajabu Magu akamteua DC Hai.
Sitashangaa wananchi kuishtaki Jamhuri walipwe fidia ya kumuajiri Shetani huyo.
Mwana kulitafuta mwana kulipata.
 
Yaani Maliyamungu alikuwa chawa mkuu wa Idi Amino,Kazi zote chafu za kuteka watu,kuua,kufilisi wafanyabiashara alikuwa anafanya yeye kwa weledi mkubwa sana kama ilivyokuwa Bashite na case za wakina Manji,MO,Saa8, Lissu

Sent using Jamii Forums mobile app
hahhahahhahahaha Iddy Amini akikohoa tu malyamungu uyu apa anauliza mzee tuuwe nan?
 
Back
Top Bottom