Asipoenda itolewe arrest warrant akamatwe popote aonekanapo na walinyime dhamana jinga kabisa hilo
Wapiga kura wamedhurumiwa haki zao na wakurugenziccm NECCCM Tumeccm na Polisiccm wamekaa kimya lakini moyoni wanaandamana kwa kwenda mbele wanamlilia mungu dakika zoteKama wana nia ya kutafuta vurugu waendelee kuwachokonoa hawa watu. Watanzania wamekaa kimya sio kwa sababu wamekubali
Huu ujinga upumbavu roho mbaya uchawi wenu wa kishetani kishamba ndiyo umewafanya CCM mkakosa kura za watanzania ndipo mkaamua kuwatumia Polisiccm na NECCCM Tumeccm wakurugenziccm na Polisiccm kuubaka kuunajisi kuulawiti uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetaniAsipoenda itolewe arrest warrant akamatwe popote aonekanapo na walinyime dhamana jinga kabisa hilo
Watanzania wepi hao waliokaa kimya,au wale 1.9 M au wale 12+ M ?,au wale waliompuuza kibaraka wa wazungu baada ya kuwa taka waandamane?Kama wana nia ya kutafuta vurugu waendelee kuwachokonoa hawa watu. Watanzania wamekaa kimya sio kwa sababu wamekubali
Then ww na familia yako ndio mnapata maji masafi ya kunywaAsipoenda itolewe arrest warrant akamatwe popote aonekanapo na walinyime dhamana jinga kabisa hilo
Sasa ataondoka vipi, si ni lazima apite barabarani aende airport au aende border ya Kenya kote huko ubalozi hauwezi kumlinda.Hizo kesi haramu za kubambikiwa na CCM kishetani hazina uhalali wowote hata akiamua kuondoka pasipo kufika mahakamaccm Duniani kote watamuelewa tu maana kuwa na kesi kwenye mahakamaccm ni vigumu upate haki
Sio sinema..sheria inachukua mkondo wake...yeye si anajifanya mwanasheria haya Sasa atumie sheria yake kupambana na kesi zake..au amwite mwanasheria wake lile shogaa Amsterdam aje amtetee....Sinema zimeanza tena!
Wakati anapiga kampeni akizunguka nchi nzima Nani alimhakikishia usalama wake..labda atuambie..kwann asiende kwa huyohuyo aliyemhakikishia usalama huo amwakikishie na huu wa sasaHizo tarehe ulizozitaja zimeshapita!? Kama bado, hoja ya kutofika mahakamani inatoka wapi!?
Serikali inakwepa jukumu la kumhakikishia usalama wake, halafu anakuja propaganda nyepesi za kesi za kishamba, shame on you primitive creatures!
Ndio mimi ndieKwani wewe ni kibaraka wa Mkoloni kaburu mweusi?