Kesi tano zinazomsubiri Mahakamani Tundu Lissu

Asipoenda itolewe arrest warrant akamatwe popote aonekanapo na walinyime dhamana jinga kabisa hilo
Kwanini isiwashauri Mahakama Watoe Warrant kwa Mwendesha Mashitaka kuhakikisha wanakamatwa na kufikishwa Mahakamani wale wote Waliopanga na kutekeleza shambulio la Mh Lissu??
 
Kama wana nia ya kutafuta vurugu waendelee kuwachokonoa hawa watu. Watanzania wamekaa kimya sio kwa sababu wamekubali
Hakuna mjinga wa kufanya vurugu wala kutembea na jinga kama hili na sasa ndiyo linadhihirika kuwa jinga lililotumwa
Hakuna wanaomtishia maisha ni upuuzi wake unamfanya ajisikie anatishiwa na kipigo cha mjinga ni kumdharau siyo kujibizana nae na ndiyo hivyo anapigika kwa kujihisi
 
Wakati anapiga kampeni akizunguka nchi nzima Nani alimhakikishia usalama wake..labda atuambie..kwann asiende kwa huyohuyo aliyemhakikishia usalama huo amwakikishie na huu wa sasa
Na huyo anayetoa amri wamumalize baada ya kampeni ni nani!?
Msiwafanye wananchi wajinga!
 
Huu ujinga upumbavu roho mbaya uchawi wenu wa kishetani kishamba ndiyo umewafanya CCM mkakosa kura za watanzania ndipo mkaamua kuwatumia Polisiccm na NECCCM Tumeccm wakurugenziccm na Polisiccm kuubaka kuunajisi kuulawiti uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani
Duuu poleni sana kumbe inawauma sana lakini siasa ni game kama game zingine kwani hata refa atakuwa na timu anayoikubali kwani ni binadamu,, Au mnahitaji Polisi,Tume na Wasimamizi watoke Kenya siyo watanzania?? pendekezeni 2025 Hivi kwa uchaguzi kuwa huru na haki ni mpaka upinzani washinde?? hamjitambui nyie,,WANANCHI WAMEFANYA MAAMUZI kutowapa nafasi hata ya ubunge nyie wenye kutetea na kutaka kutuuza kwa wezi waliowadhamini nyie ili wazivune mali zetu THE PEOLPE HAVE SEEN YOUR BACK AND HAVE DONE WHAT IS BETTER FOR OUR NATION kubalini
 
Watanzania wepi hso waliokaa kimya,au wale 1.9 M au wale 12+ M ?,au wale waliompuuza kibaraka wa wazungu baada ya kuwa taka waandamane?
Milion 12 ni kura zako binafsi tokea gheto ulipokuwa ukishinda unazitengeneza kienyeji kwa njia haramu za kishetani, aliyepuuzwa ni wewe na hao NECCCM Tumeccm wakurugenziccm na Polisiccm mlio unajisi kuulawiti kuubaka uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani
 
Duuu poleni sana kumbe inawauma sana lakini siasa ni game kama game zingine kwani hata refa atakuwa na timu anayoikubali kwani ni binadamu,, Au mnahitaji Polisi,Tume na Wasimamizi watoke Kenya siyo watanzania?? pendekezeni 2025 Hivi kwa uchaguzi kuwa huru na haki ni mpaka upinzani washinde?? hamjitambui nyie,,WANANCHI WAMEFANYA MAAMUZI kutowapa nafasi hata ya ubunge nyie wenye kutetea na kutaka kutuuza kwa wezi waliowadhamini nyie ili wazivune mali zetu THE PEOLPE HAVE SEEN YOUR BACK AND HAVE DONE WHAT IS BETTER FOR OUR NATION kubalini
Wananchi wa wapi wamefanya maamuzi? Hakuna mwananchi mwenye Akili timamu anaweza kuipa kura yake CCM
 
Na huyo anayetoa amri wamumalize baada ya kampeni ni nani!?
Msiwafanye wananchi wajinga!
Achana na jinga hilo linakikimbia kivuli chake na bado vyombo vinampa kipigo cha kumdharau hajitambui huyo hakuna wanaomtishia maisha ati wamempigia simu mpumbavu sana hakuna aliyekwenye vyombo wa kupoteza hata sekunde kulipigia simu jinga hilo hata Mbowe hampigii kwa jinsi alivyomharibia kibubu cha saccos yake
 
MaelekeZo/maagzo ya M/Kit yazngatiwe
 
Achana na jinga hilo linakikimbia kivuli chake na bado vyombo vinampa kipigo cha kumdharau hajitambui huyo hakuna wanaomtishia maisha ati wamempigia simu mpumbavu sana hakuna aliyekwenye vyombo wa kupoteza hata sekunde kulipigia simu jinga hilo hata Mbowe hampigii kwa jinsi alivyomharibia kibubu cha saccos yake
Wewe ndiyo pumbavu mbumbumbu juha zuzu namba moja huko CCM unawezaje kujua chochote zaidi ya kushinda ukivuta Bangi gheto kwa cyprian Musiba, acha ufala wako usifikiri hiyo roho mbaya yako itakusaidia chochote zaidi ya kufuga ushetani kishamba, walikuwepo akina Bokasa chiluba Abacha Gadafi Sadam Hussein Elbashiri Iddy Amin dada mabutu leo hii wapo wapi? Hakuna mabaya yasiyo na mwisho
 
Wananchi wa wapi wamefanya maamuzi? Hakuna mwananchi mwenye Akili timamu anaweza kuipa kura yake CCM
Poleni,, ndiyo maana mlililia kujua makaratasi tenda kapata nani ili mkaghushi,,,, leteni hizo mnazosema fake tukazilinganishie kkokote Duniani lkn kwa gharama yenu na mtaliwa tuu Kwa taarifa yako system itaonyesha hata uliyempigia kura yako weweee,, njooni, kipigo hiki kiliandaliwa kisawa sawa na hata mtandao mlishindwa kuingilia Tuheshimuni Siye Tumekwenda Shule kushinda hilo jinga lenu RAIS na wadhamini wenu TUMESOMA beyond your imaginations!!!!
 
Kama wana nia ya kutafuta vurugu waendelee kuwachokonoa hawa watu. Watanzania wamekaa kimya sio kwa sababu wamekubali
watanzania(wingi)
kuwachokonoa(wingi wewe umejitoa)
wamekaa(wingi wewe umejitoa)

sasa kama wewe tu unajitoa nan sasa unamuongelea ?
 
Poleni,, ndiyo maana mlililia kujua makaratasi tenda kapata nani ili mkaghushi,,,, leteni hizo mnazosema fake tukazilinganishie kkokote Duniani lkn kwa gharama yenu na mtaliwa tuu Kwa taarifa yako system itaonyesha hata uliyempigia kura yako weweee,, njooni, kipigo hiki kiliandaliwa kisawa sawa na hata mtandao mlishindwa kuingilia Tuheshimuni Siye Tumekwenda Shule kushinda hilo jinga lenu RAIS na wadhamini wenu TUMESOMA beyond your imaginations!!!!
Kura feki ziletwe hapo gheto unaposhinda ukivuta Bangi? au ziletwe kwa NECCCM Tumeccm chombo binafsi cha CCM?
 
Wananchi wa wapi wamefanya maamuzi? Hakuna mwananchi mwenye Akili timamu anaweza kuipa kura yake CCM
Mimi niliipa CCM kura kwa ngazi zote
IMG_20201028_084726_3~2.jpg
 
Wewe ndiyo pumbavu mbumbumbu juha zuzu namba moja huko CCM unawezaje kujua chochote zaidi ya kushinda ukivuta Bangi gheto kwa cyprian Musiba, acha ufala wako usifikiri hiyo roho mbaya yako itakusaidia chochote zaidi ya kufuga ushetani kishamba, walikuwepo akina Bokasa chiluba Abacha Gadafi Sadam Hussein Elbashiri Iddy Amin dada mabutu leo hii wapo wapi? Hakuna mabaya yasiyo na mwisho
Naona unamzungumzia mtu, CCM is a party and here it seems that what you hate is a person and CCM changes its leader unlike YOURS
 
Achana na jinga hilo linakikimbia kivuli chake na bado vyombo vinampa kipigo cha kumdharau hajitambui huyo hakuna wanaomtishia maisha ati wamempigia simu mpumbavu sana hakuna aliyekwenye vyombo wa kupoteza hata sekunde kulipigia simu jinga hilo hata Mbowe hampigii kwa jinsi alivyomharibia kibubu cha saccos yake
Naona Saccos ya Jiwe imeshika hatamu, Chato safari hii itakuwa London ya Tanzania!
Waimba mapambio kazi kwenu kusifu na kuabudu malaika wenu.
 
Kura feki ziletwe hapo gheto unaposhinda ukivuta Bangi? au ziletwe kwa NECCCM Tumeccm chombo binafsi cha CCM?
Bangi tulivuta na tunavuta kutusaidia ili tusome na TUMESOMA ile mbaya na kwa taarifa yako it will take many years for Tanzania to have an opposition party that can challenge baba lao CCM
 
Hata Mandela alipewa kesi nyingi na makaburu ili kumzuia kupambana nao. Haya yanayomkuta Lisu ni changamoto zinazowakuta wapinzani wote kwenye nchi za madictator. Imeisha hiyo.
 
Back
Top Bottom