Azimio Jipya
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 3,362
- 1,133
This is propaganda , and wa TZ kwa propaganda na wapa jiti, ndo fani aliyotuachia baba wa taifa, fani nyingine tunasuasua labda .......Sidhani kama kweli ila kama kweli sababu si hizo tu zipo nyingi katika mwenendo mzima wa utekelezaji kazi na majukumu ndani jeshi na serikali....pia naona ingeua ari ya polisi na hali duni,vitedea kazi duni etc....najua wameiukia kuogopa sabotage........
Kila kitu kina wezekana kwenye hii nchi mkuu.
jamani labda huyu zombe ana tatizo la kisaikolojia, asaidiwe!!! Isije kuwa damu ya wale marehemu inamsumbua, anahitaji maombezi !!!
Jamani labda huyu Zombe ana tatizo la kisaikolojia, asaidiwe!!! Isije kuwa damu ya wale marehemu inamsumbua, anahitaji maombezi !!!
Zombe ana kazi kubwa sana ya kuishi na jamii,kimtizamo inaonekana ni mtu mkorofi sana na mwenye roho mbaya kupindukia.Kwa wale watu wa Tanga wana jua na maanisha nini.