well said petcash,wanaume muache kuongozwa na hisia.ni vizuri kuthibitisha jambo kabla ya kutoa maamuzi.swali la kizushi hivi mtambuzi wewe mwanasheria?
Thanks Mtambuzi!kesi hii ni moja ya kesi zilizowahi kutikisa jiji la Dar,kamakesi ilivyofuata kwenye miaka ya 80 mwanzoni kesi iliyomuhusu Dr huyu huyu kwenye kesi hii.Jambo kubwa hapa,kesi zote zilihusisha mambo ya mapenzi,tena kwa vijana wasomi wa kipindi hicho!na zote zilipelekea mauaji ya kutisha!!!Jamo moja kubwa la kujifunza hapa kwetu sote,pamoja na madhaifu yetu kama binadamu,hakuna jambo linaloweza kuumiza nafsi ya mwenzio kama usaliti wa mapenzi.Na basi tunapoamua kuingia katika ndoa ni lazima uamuzi huo uwe umefanyika kwa dhati!!Leo mzee Liundi pamoja na heshima yake katika jamii nadhani ni jambo linalomuumiza mpaka siku mauti yatakampomkuta!!!TUPENDANE KWA DHATI!!!!NDOA SIO MAIGIZO AU MAKARATASI YA MAKANISANI,MSIKITINI AU KWA MKUU WA WILAYA!!
daaah poleni aisee huyo mama kaolewa tena@bishanga?
ndo mama yake taji liundi?
haya Bana...............
Doris alikuwa na state of mind which would be subjected to defence of diminishing responsibility. This defence is given when an accused mind was 'impaired' at the time of committing a crime. However it was not in our laws at the time. The judge could not read it in our laws or at invoke it as a new law
Mkuu umetoa darasa tosha kabisa tuwe makini kwenye family zetu; kwanza tujifunze kumjua mwenzi wako na back ground yake!! Kila tunapotoa tamko tuwe tunalipima tuache mfumo dume wa vitisho tutapata hasara kwenye miji yetu, kweli hiyo inatisha!!!!
aisee story ndefu sana nimeshindwa kuisoma yote...so kwa walioisoma yote huyo mama alifanywa nini na mahakama??
Mkuu hivi ukiwa 'impaired' unachukua hela na kwenda kununua thiodan (thats what she used) kwenye duka la dawa za mimea? I wonder.....tuyaache lakini yashapita.
Wanasheria bana,hamkosagi maneno.Haya bana.Its fairly possible mkuu! Kilichofanyika kwa huyu mama ni piling up of bitter and negative issues in her life. Chukulia historia yake ya utoto, halafu akabakwa, kisha mateso daily toka kwa mtu unayempenda na kumtegemea in everything. In that situation unaona kama umebakia peke yako in the whole world, upweke usio na maelezo. Akili yako inakuwa haina alternative na chochote kile unaona ni sawa. Hapo unaweza kuua, ukafanya maandalizi yote ukifahamu unaua, lakini akili yako, kutokana na mlundikano wa bitterness, inaona its a right thing! There you are impaired!
Ndio maana Tanzania inabaki ilipo, kweli habari ya kurasa chache hivi umeshindwa kuisoma yote, ukija kuwa kiongozi ukapewa mkataba mfano wa Richmond for review si utasoma tu ile karatasi ya mwisho tu yenye kuonesha mahali pa kusaini?. Nchi isiyo na wasomaji ni nchi liyojifia.
Wanasheria bana,hamkosagi maneno.Haya bana.