Kesi ya Babu Seya na wanae - Ukweli ni upi haswa?

CASE CLOSED ndugu!
Rais kwa mamlaka aliyopewa kikatiba, kawasamehe!!
Maskini Augustine Mrema hapati credit yoyote ktk hili wakati paroles zote zinaanzishwa nae na kupendekeza kwa rais.
Na pia rais na mamlaka ya kikatika kumpa kesi mtu yoyote yule.
 
Sasa kama Rais anaweza kufuta hukumu zilizotolewa na mahakama inakuaje basi tunasema mahakama ni mhimili wa dola ulio ulio huru?
HUENDA ILITENGENEZWA NA MAMLAKA YAKE.
 
Sasa kama Rais anaweza kufuta hukumu zilizotolewa na mahakama inakuaje basi tunasema mahakama ni mhimili wa dola ulio ulio huru?
Sio Tz tu, hata states rais ana constitutional rights to pardon convicts. Ila HAFUTI HUKUMU, anatoa msamaha kwa aliyehukumiwa.
Tumekopi na kupesti toka mataifa ya mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…