mr mkiki
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 5,588
- 11,668
Na pia rais na mamlaka ya kikatika kumpa kesi mtu yoyote yule.CASE CLOSED ndugu!
Rais kwa mamlaka aliyopewa kikatiba, kawasamehe!!
Maskini Augustine Mrema hapati credit yoyote ktk hili wakati paroles zote zinaanzishwa nae na kupendekeza kwa rais.