Kesi ya Babu Seya na wanae - Ukweli ni upi haswa?

Babu sea kama ni kwl alifanya hyo baasi laana itamtafuna mpaka atakopokufa kuwa huru kwake huenda ikawa adhabu kubwa sana
Dawa ni moja tu, iwapo akitaka kubaki salama sharti aje madhabahuni kwa ajili ya TOBA. Hakuna dhambi isiosameheka!!! Mungu huwa anasamehe dhambi/uovu wa wanadamu. Akishatubu kwa Mungu aanze kumtumikia Mungu katika maisha yake yote.!

Tofauti na hivyo, ataomba kurudishwa kule gerezani alikokuwa.

JESUS IS LORD !
 
Sielewi kwa nini ndugu zangu WaTZ mnashangilia huyu mbakaji kuachiliwa huru. He belongs in jail.
 
Walitetewa na jopo la mawakili wasomi wakiongozwa na Wakili Msomi Mabere Marandu wakashindwa kesi.Wakakata rufaa wakashindwa tena.
Mkuu unaambiwa kipengele kilichotumika kuwafunga hata wangekwenda mahakamani gani bado wasingetoka ila kwa msamaha wa Rais tu. Fuatilia hizi nyuzi za hawa watu utakutana na mchangiaji mmoja ameandika hivyo sikumbuki ni ipi ila ipo humu.
 
I state lnterlia that,whatever reasons thereof,the powers of DPP were graduated when the culprits were convicted and sentenced to life imprisonment and both the conviction and sentence upheld by the court of Appeal.
Kwa hiyo unatakaje sasa kama DPP hana uwezo wa kurudisha? mbambikeni uhujumu uchumi maana ndiyo kesi zenu hizo.
 
Wakongo ni washenzi sana nyie hamuwajui tu...kama umewahi kuishi nao mtaa mmoja utaelewa nachokisema hapa.
Kwenye uharifu nipo tayari kumtetea mtu yeyote lakini sio mkongo hasa hasa linapokuja swala la ngono.
Wale jamaa walibaka kiukweli sema ndo hivyo tena Katiba inampa nguvu raisi kusamehe kosa lolote.
 
Mkuu andiko lako halipo sawa, kama Rais ametoa msamaha hakuna sababu ya kuendelea kuhoji mradi hajavunja katiba. Sorry kama hujanielewa.
Mimi nilimjibu Yule aliyesema watarudishwa tena na DPP ndo nikasome kazi ya DPP ilishaisha .Hili swala hali wezi kurudi tena kwenye litigation kwa sababu ya kanuni ya res judicata.
 
Mkuu unajua Mila za waongo katika ngono? Waulize hao Jirani zako watakuleza hii kitu wanabisha hadi kesho "ati katoto kanasema alipotoka baba kunifanya akaja na fulani akanifanya. Kweli!!?? Huyu mtoto wa miaka saba alinyweshwa viagwa au,halafu anatoka hapo anaingia darasa kama sio yeye aliyetoka kufanywa [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…